kuna kitu kimoja watu wengi humu hawaelewi sjui wanafanya maksudi,kupata ajira sikuhizi ni bahati tu haina mana kozi ikiwa ajira zake znapatkana bas na wewe utapata au koz ajira zake zikiwa ngumu bas na we utakosa,ajira ni bahati yako tu skuiz na kama ipo ipo tu cha msingi katie kazi dogo,mambo mengne badae uko..