kaka nimesoma iyo kitu nimemaliza mwaka 2013, ajira zake ni ngumu kama chuma yani sitaki ata kuelezea
kaka nimesoma iyo kitu nimemaliza mwaka 2013, ajira zake ni ngumu kama chuma yani sitaki ata kuelezea
yaan ww kaz yako ni kuongea pumba..hv umesoma koz ngap ww?maana hatukuelew mara huku, moderator hebu shughulika na huyu mtu anakatisha tamaa watu,
Hiyo course unaspecilize kwa masomo machache either vhemistry MBB au chemistry microbiology AU botany chemistry. Mm nilipangiwa botany chemistry nikahamia chemistry pure sema nasikia nzuri hasa chemistry and microbiology tbs, tfda na wiwandan kaz zipo za kutosha nadhan mpaka mohospitalin wanafanya kaz kuna jamaa aliniambia anakwenda bugando job sema sijamdodosa zaid