Hahaaaa........wavumilie vijana wa siku hizi ndo tulivyo.... maana mi nshawahi kukuta mwanafunzi wa chuo mwaka wa tatu..anadai anasoma faculty ya pspaHiyo siyo faculty iyo ni course. ..hawa form six wasumbufu sanaa asee
Daah kumbeHiyo siyo faculty iyo ni course. ..hawa form six wasumbufu sanaa asee
Aya rekebisha swali lako tukusaidie sasaDaah kumbe
Nimekuelewa mkuu.AsanteAnyway kwa suala la ajira kukushauri nitakuwa muongo kwani siamini sana katika kuajiriwa.
Ila sasa kwenye kujiajiri huku inatakiwa wewe mwenyewe uwe tayari na malengo kwamba unataka baadae ujiajiri katika sekta gani kwa mfano kama unataka kuwa na ofisi yako ya consultancy hiyo course itakusaidia sana. Ila sasa kuna kujiajiri kwenye shughuli ambazo hazihitaji umesoma course gani university. Kwa mfano unataka kufungua bakery kubwa hii sidhani kama inarelation ya moja kwa moja na course yeyote kwani ukishakuwa na mtaji unaajiri watu wenye taaluma hiyo.
I think nimekusaidia kidogo. So angalia kwanza ndoto zako mwenyewe ndio uombe ushauri be more specific
Hyo course nimeiona mzumbe,maana nilitaka kuapply ba in economic lakn mzumbe general hamna ndio nkachagua hyo.Jina la kozi linavutia sana, kwaharaharaka it seems ni kozi nzuri sana kwa ujasiriamali. Lakini ungeleta curicullum yake yote ndiyo ningeweza kukupa ushauri mujarabu
Iko poa sana?.we ulisoma chuo gani ndugu maana me nmeiona mzumbeNakushauri ukasome ni course nzuri....mi nilisoma hiyo course
Ninaamini ushuri huu haujatolewa n Mtu aliekwenda shule,Bachelor of economics in project planning and management unasema haina uhusiano kwenye biashara ya backery?unawapoteza watu ndugu,Hiyo course inaingia almost kwenye kila aina ya mradi unaofanyika Duniani,Ukishataja Economics hata walioanzisha JF walitafakari hili ,project planning ...Hii ni applicable kwenye kila sector ya uzalishaji whether umejiajiri kwenye backery au kulima kama umesoma project planning if you apply the knowladge yu must win . Management ...yenyewe kwa difinition yake itamsaidia kwenye hiyo biashara ya backery kama ulivyotaja akiajiri watu wengi au wachache. Zote kwa pamoja zina mchango kwa mtu kujiajiri mwenyewe. Pia nadhani kwa kuwa watu wamezoea kutoa matusi kwenye Nyuzi zingine wanakallili hata kijana wa form six anaeomba ushauri lazima apewe lugha za karaha au matusi. Wewe wakwetu ngirini unapaswa kumuomba REgy 2pa msamaha kwa maneno yako ya kumdanganya,kumkejeli anaetafuta ushauri,kumtukana anaeomba njia.kama hutaomba msamaha hadharani mungu atakuadhibu wewe wakwenu Ngirini.Anyway kwa suala la ajira kukushauri nitakuwa muongo kwani siamini sana katika kuajiriwa.
Ila sasa kwenye kujiajiri huku inatakiwa wewe mwenyewe uwe tayari na malengo kwamba unataka baadae ujiajiri katika sekta gani kwa mfano kama unataka kuwa na ofisi yako ya consultancy hiyo course itakusaidia sana. Ila sasa kuna kujiajiri kwenye shughuli ambazo hazihitaji umesoma course gani university. Kwa mfano unataka kufungua bakery kubwa hii sidhani kama inarelation ya moja kwa moja na course yeyote kwani ukishakuwa na mtaji unaajiri watu wenye taaluma hiyo.
I think nimekusaidia kidogo. So angalia kwanza ndoto zako mwenyewe ndio uombe ushauri be more specific
Ahahaaaaaaah...Hahaaaa........wavumilie vijana wa siku hizi ndo tulivyo.... maana mi nshawahi kukuta mwanafunzi wa chuo mwaka wa tatu..anadai anasoma faculty ya pspa