Kuna siku nilienda beach nikiwa natembea pembezoni mwa ziwa nikasimama kwenye ukuta flani hivi mbovubocu mara nikasikia dogo anaongea kwa nyuma nikapiga jicho nakuta kaorodhesha degree nyingi zitolewazo udom anazisoma akariri sijui, bachelo of education with ict sijui vidude gani nikajua tu dogo ana usongo umepitiliza hadi kapata wenge