Voldemort Member Joined Jul 4, 2019 Posts 19 Reaction score 45 Aug 23, 2019 #1 Wakuu naomba msaada kwa anayeifahamu hii kozi kwa undani, ukisoma unakuwa nani, soko la ajira liko vp kwa hii kozi, na inauhusiana na nn katika jamii. Nitashukuru kwa maoni yenu.
Wakuu naomba msaada kwa anayeifahamu hii kozi kwa undani, ukisoma unakuwa nani, soko la ajira liko vp kwa hii kozi, na inauhusiana na nn katika jamii. Nitashukuru kwa maoni yenu.
dkanyu Senior Member Joined Dec 15, 2016 Posts 102 Reaction score 54 Aug 23, 2019 #2 Mwl wa somo moja la sayansi na somo la ICT na unaweza kujiajili kutokana na kuwa na ujuzi WA ICT
Voldemort Member Joined Jul 4, 2019 Posts 19 Reaction score 45 Aug 24, 2019 Thread starter #3 Shukrani mkuu