Habari wana JF kama kichwa cha habari hapo kinavyojieleza, kwamba mtu akisoma hiyo bachelor anakuwa nani au anafanya kazi wapi na soko lake la ajira likoje kwa sasa
Hyo course may be ipo hivi bachelor of business administration in Acc with educat ion apo utakuwa mwalm wa business subject na nimhasibu pia
Huo ndo uelewa wangu na am holder of that fakati