Naomba ushauri kuhusu kozi ya Bachelor of Arts in English

95% ya waliosoma hiyo kozi ni bora wangeuza mitumba. Ada ya mwaka mmoja tu na matumizi yake ukiwekeza kwenye mitumba ukafanya kazi miaka mitatu wakati wenzako wanafanya graduation wewe ushapiga hatua na ushajifunza mambo mengi.

Ila dunia haiko fair, unaweza toka kivyako na elimu hiyo hiyo
 
Nahitaji ushauri jamani
Huo niliokupa ni ushauri sahihi kwangu. Ningekuwa wewe nisingeenda kusoma kozi ambayo sioni future yake wala itanisaidia nini. Kusoma hiyo ni kubahatisha nafasi za ualimu zaidi, tofauti na hapo sioni kama utakuwa Ras Simba mwingine ama namna gani.

Ada ya kusoma na muda wako vyote hivyo ni investment. Utaamua mwenyewe utumie vipi scarce resources zako
 
Soma hiyo pia opt Methodology of Teaching na masomo ya kufundisha Kiswahili....Marekani huwa wanatoa nafasi za kwenda kufundisha Kiswahili kwa waliosoma Hiyo Course
 
Jamani walimu pamoja na wazoefu naomba ushairi kuhusu hi course jamani
Sasa mbona unaandika andika kama mtoto? Ndio umechaguliwa au unataka kuichagua?

Nitakushauri kwa ku assume kwamba umechaguliwa..

Nenda kasome ila hakikisha unaanza kujijenge mentallity ya kujiajiri mapema uwezavyo. Pambana ukimaliza uanze kujiweka vizuri online/kwenye social media hasa linkedin na youtube kwa kufundisha watu hasa wa nje lugha ya kiswahili (kama hujui kufundisha kiswahili tafuta mwezako chuoni msaidiane).

Kama utakua na kitu kichwani hutalala njaa ila kama utamaliza alafu ukae kwa mama ako ukingojea ajira za serikali HAMNA RANGI UTAACHA ONA (rudia tena kusoma haya maneno yenye herufi kubwa mpaka yakae kichwani).

NB: Kwa sababu ufakua unajua ngeli unaweza ukajifunza digital marketing na copywritting alafu ukawa freelancer.
 
Ndio nilichaguliwa kusomea
 
Back
Top Bottom