"Baby nikwambie kitu?" Ukitumiwa msg hii usijibu.mzinga

wakusoma

JF-Expert Member
Feb 25, 2008
1,085
1,059
Ukiwa unachat na mwanamke wako. Katikati ya conversation akaku SMS"baby nikwambie kitu"..ukijibu niambie..itafuata mlolongo wa matatizoo..na atakuomba hela au aka mzinga.

Wanawake wasio kuwa na hela yani kero kweli..mizingaaa 800..ndiyo maana sisi wahaya tunaoana wenyewe kwa wenyewe. Mnbeba mipochi mikubwaaa kumbe mmeweka tissue tu ndani na lips shiner na kipisi cha wanja.
 
Unaweza kuta ni habari njema kama "nina mimba yako" (halafu ni mke wa mtu au ni mwanafunzi olevel,a level,primary)

Hapo ndio utajua utamu wa central polisi
 
Ukiwa unachat na mwanamke wako. Katikati ya conversation akaku SMS"baby nikwambie kitu"..ukijibu niambie..itafuata mlolongo wa matatizoo..na atakuomba hela au aka mzinga.

Wanawake wasio kuwa na hela yani kero kweli..mizingaaa 800..ndiyo maana sisi wahaya tunaoana wenyewe kwa wenyewe. Mnbeba mipochi mikubwaaa kumbe mmeweka tissue tu ndani na lips shiner na kipisi cha wanja.
Kweli aisee wanaanza hvo ila mwisho wa sentensi unakuta unapigwa mzinga...........................
 
Sio wote
Mi wakati niko bachela demu wangu akinitumia "baby nikwambie kitu" mara nyingi zilikua habari njema sana kwangu': Nimetoka home nakuja kwako muda huu--- msela najiona life nimelipatia
Baby boom limetoka ntakupitia tupange bajeti zetu enzi za chuo wallah ukimpata mwanamke anayekupenda hutachukia mapenzi.

Baby ile issue niliyokwambia Mzee kakubali amesema field nijaze mkoa uleee(mkoa ambao namimi nimejaza mbuzi kafia kwa muuza supu)

Baby nikwambie kitu...
Nisamehe kwa nilivyokukwaza jana ... I like that

Sasa mwenzangu wewe ukiona message ya hivo unajua mzinga
Mwanamke ukimjenga vizuri pesa yako itakua yake na pesa yake itakua yako tena iko siku utakua umekwama unashangaa unatumiwa ela na demu wako kama surprise.. Haraka haraka unapiga simu kulikoni baby mbona umenitumia pesa umetoa wapi.... Boom limetoka... Mshahara umetoka najua huna ela kwa sasa baby tumia hiyo itakusogeza nikija home tutaongea

Mwanamke kama maji hana umbo maalumu(tabia), Maji hayana umbo maalumu ukiyaweka kwenye kibuyu yanachukua umbo la kibuyu, ukiyaweka kwenye ndoo yanachukua umbo la ndoo.

Ukiona demu wako anataka kukukomoa kila siku mizinga ujue kuna sehemu hujampatia ama wewe ni kicheche au demu huyo hakufai
 
Ukiwa unachat na mwanamke wako. Katikati ya conversation akaku SMS"baby nikwambie kitu"..ukijibu niambie..itafuata mlolongo wa matatizoo..na atakuomba hela au aka mzinga.

Wanawake wasio kuwa na hela yani kero kweli..mizingaaa 800..ndiyo maana sisi wahaya tunaoana wenyewe kwa wenyewe. Mnbeba mipochi mikubwaaa kumbe mmeweka tissue tu ndani na lips shiner na kipisi cha wanja.
Kumbe unapenda kutumia tu bila kughalamia na mapesa yote uliyonayo? acha ubahili
 
Halafu ukimuuliza kuhusu pesa? Utasikia basi sikwambii tena ushaharibu....we unaona mi nina shida sana ya pesa eeeh! na simu anakata....Ukiona hivyo ujue anapigiwa mwingine.
 
watu wengine bhana...mmekaa tu kudharau thread za wenzenu yeye falsafa yake imemtuma ivo...kama kitu hakikuvutii pita zako na sio dharau
Hiyo ni falsafa yake na mimi hiyo ndo falsafa yangu sasa unataka wote tufanane? Kwa hiyo ulitaka kila mtu aandike post ya kusapoti?
 
Sasa kama hamtaki kuhonga si mnunue sabuni mmalize haja zenu.......mwanaume utaogopaje kuombwa fedhaa!!!!!
 
Ukiwa unachat na mwanamke wako. Katikati ya conversation akaku SMS"baby nikwambie kitu"..ukijibu niambie..itafuata mlolongo wa matatizoo..na atakuomba hela au aka mzinga.

Wanawake wasio kuwa na hela yani kero kweli..mizingaaa 800..ndiyo maana sisi wahaya tunaoana wenyewe kwa wenyewe. Mnbeba mipochi mikubwaaa kumbe mmeweka tissue tu ndani na lips shiner na kipisi cha wanja.
sasa nani ampe pesa kama sio wewe! labda kama unamwanamke zaidi ya mmoja ndo utashindwa kuhudumia
 
8656949baddf7243212c654f673f17d2.jpg
b607e8ddc0d8b9eaee39ed247bcf3377.jpg
f692a9a67857d65f3f6f0b47673809f5.jpg
 
Sio wote
Mi wakati niko bachela demu wangu akinitumia "baby nikwambie kitu" mara nyingi zilikua habari njema sana kwangu': Nimetoka home nakuja kwako muda huu--- msela najiona life nimelipatia
Baby boom limetoka ntakupitia tupange bajeti zetu enzi za chuo wallah ukimpata mwanamke anayekupenda hutachukia mapenzi.

Baby ile issue niliyokwambia Mzee kakubali amesema field nijaze mkoa uleee(mkoa ambao namimi nimejaza mbuzi kafia kwa muuza supu)

Baby nikwambie kitu...
Nisamehe kwa nilivyokukwaza jana ... I like that

Sasa mwenzangu wewe ukiona message ya hivo unajua mzinga
Mwanamke ukimjenga vizuri pesa yako itakua yake na pesa yake itakua yako tena iko siku utakua umekwama unashangaa unatumiwa ela na demu wako kama surprise.. Haraka haraka unapiga simu kulikoni baby mbona umenitumia pesa umetoa wapi.... Boom limetoka... Mshahara umetoka najua huna ela kwa sasa baby tumia hiyo itakusogeza nikija home tutaongea

Mwanamke kama maji hana umbo maalumu(tabia), Maji hayana umbo maalumu ukiyaweka kwenye kibuyu yanachukua umbo la kibuyu, ukiyaweka kwenye ndoo yanachukua umbo la ndoo.

Ukiona demu wako anataka kukukomoa kila siku mizinga ujue kuna sehemu hujampatia ama wewe ni kicheche au demu huyo hakufai
Nikweli
 
Ukiona demu wako anakupiga mizinga tu yani yy ni mizinga tuuuu ujue hajakupendaaa wala hakupendi, yupo anae mpenda we anakutumia km njia ya kufikia mipango yakee.. .Siku zote mwanamke akikupdnda atakuwa. Na staraa anakuheshimu, anakujali, anakuthamini chake chako chako cha
keee
 
Mimi nikiona baby nikwambie kwangu ndio neema hiyo huwa najibu fasta,sema baby utasikia angalia email yako kuna ticket nimekutumia uje Boston weekend,yaani hapo mimi nikula virutubisho tu nikamwage mbolea weekend
 
Back
Top Bottom