najiuliza serikali ina ajenda gani na babu wa Loliondo ifike wakati apewe Ulinzi na kutumia magari ya serikali? Wataalamu wangapi na wakuu wa idara nyeti za nchi hii hawapewi hudma na unyeti anaopewa babu?au serikali imeoteshwa kumlinda na kumbeba?Nasema haya kwa kuwa jana amepelekwa Babati kuhudhuria msiba wa mtoto wake kwa gari la Halmashauri akiwa chini ya Ulinzi wa wana usalama na polisi kuelekea Babati
utofauti wake ni upi?
shk yahya hamuwezi Ambilikile kwa uchawi! Unajua babu ndie mkuu wa wachawi EA. Babu anajini mkubwa sana huwa anamjia usingizini, mwenyewe anamwita Mungu.unaona hata serikali kairoga! Inafanya anavyo taka. Sijawahi kuona serikali inayo support ushirikina duniani, kama chazo mapato mbona kina nengi na bakharesa hawajapewa ulinzi.Bruker peleka hoja yako PCCB kuwa serikali inatumia vibaya rasilimali fedha ambazo ni kodi ya watz then jibu lake litakuwa hivi kila raia ana haki ya kulindwa na kuhakikishiwa usalama na serikali hasa pale inapoitajika kwa lazima kama hutak kuamin kasome katiba. kama umechukia babu kupewa ulinzi nenda kwa sheikh yahya amroge.
Najiuliza serikali ina ajenda gani na babu wa Loliondo, ifike wakati apewe Ulinzi na kutumia magari ya serikali?
Wataalamu wangapi na wakuu wa idara nyeti za nchi hii hawapewi hudma na unyeti anaopewa babu?
Au serikali imeoteshwa kumlinda na kumbeba? Nasema haya kwa kuwa jana amepelekwa Babati kuhudhuria msiba wa mtoto wake kwa gari la Halmashauri akiwa chini ya Ulinzi wa wana usalama na polisi kuelekea Babati.