Babu jinga mie!

Kitoabu

JF-Expert Member
Joined
Jul 7, 2011
Posts
11,084
Reaction score
12,329
Iwe na itakavyo kua nisha penda nisha penda na siwezi kumuacha ni mpendae kamwe. Wacha nifue, nipike, nioshe vyombo,etc. ninapo mfumania na kidume niwe wakwanza kumuomba msamaha, anapo cherewa kurudi kazini nisimuulize anatoka wapi ( hata kama usiku wa manane ) nipotayari kulala chini pindi akasilikapo . Mshahara wangu wote nitatumia kumtunza yeye na sio ndugu zangu. Najua mupo mutakao niona labda nime rogwa hapana nimapenzi tu, nampenda kuliko ninavyo ipenda familia yangu, namjali kuliko ninavyo jijali. Wacha nivae kauka nikuvae lakini yeye apendeze ikibidi asiwe anarudia nguo. jamani mimi babu jinga.
 
We c ndie yule dokta wa pilipili?..... Huo mzigo uliuongeza haujatosha Kumdhibit huyo mtoto?
 
Waliowekewa limbwata wanajijuaga basi?
 
Wewe Kitoabu ni mwanaume au wa kiume.....???????? Acha tu nikuombee upate upako labda utaponywa hilo limbwata

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…