Baba'ko analo?

Nilidhani umebandika original foto ya gari ya dokta Remmy Ongalla RIP
 
umenikumbusha Dr Remmy na mgari wake
 
Nimekumbuka miaka ya 1990 maeneo ya koma koma M'nyamala kuna mtu alikuwa na pick up mbovu nyuma imeandikwa "Kweche, Baba yako analo?"
 
hawezi kuwa na hili hata siku moja khaa bayaaaaaa....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…