Ni lazima hili jumba la mafisadi livunjjwe kwa wanaokumbuka hadithi ya Mbutolwe mwana wa Umma wataelewa kwani CCM ni chaka aka mazalio ya mafisadi ,fisadi yeyote unaemjua wewe basi chimbuko lake ni huko CCM ,sasa kama hatujaiondoa CCM ,watakunywa hata gesi na ndio wanayoikodolea macho.
CCM waondoke kabla hawajaondolewa ,naamini wameshakaa tayari kuyakubali matokeo ya kushindwa vibaya sana.