Baba zetu wametufanyia nini, mbona hatuwapost Fathers Day?

Labani og

JF-Expert Member
Sep 15, 2020
15,777
24,212
Leo Ni FATHER'S DAY lakini Watu Wamejikausha Hawana Wala Shobo Za Ku-post Washua Zao,Kama inavokuwaga Siku Ya MAMA Duniani,Mitandao Ya Kijamii ingechafuka

Kwangu Mimi mshua ni mtu ambaye hatunaga story nyingi zaidi ya kunipa majukumu na kunigombeza nnapokosea. Kumbuka hajawahi kunipongeza

Lakini hili ndilo lililonijenga kuwa disminder kiasi Kwamba hata unitukane, unipongeze, I don't Care

Sijui, Washua Walitukoseaga Nini?
1687094890238.jpg
 
Back
Top Bottom