Hayo ni maneno ya baba wa Ulimboka. Hivyo, ukimya wake inaonesha kuwa amekanywa tena asilizungumzie suala hili. Inawezekana kwa vitisho walivyopata toka serikalini au wamepokea ahadi nzuri toka serikalini. Lakini pia inawezekana mapenzi tu ya baba kwa mtoto hivyo asingependa kuona mwanawe anadhurika tena. Kwahiyo hapo imebakia sisi watanzania kila mtu kusema lake juu ya ukimya huu. Wengine watasema mbona hamjafanya kitu kwa wale waliotajwa? Je, na ya Mwangosi tumefanya nini? Je, mafisadi tumewafanya nini? Mishahara ya wabunge ukilinganisha na sekta nyingine tumefanya nini? Ndipo baba wa Uli inawezekana akamwambia mwanawe hatapata faida yeyote kwa hili zaidi ya kumgharimu yeye na familia yake."Nilimkanya kabisa kuhusu mambo ya migomo hasa baada ya kuniambia kuwa amechaguliwa kuwa msemaji mkuu wa madaktari wenzake na kwa bahati mbaya ndiyo yakatokea hayo yaliyotokea,"
Chanzo: www.mwananchi.co.tz
The mzee is not media savvy, badala ya kulaani kipigo alichopata mtoto wake yeye anasema alimkanya hakusikia! Basi mwanae ni mkaidi aliye deserve kipigo cha mbwa, maana hasikii la babae na babae ana mind openly. Kama hau support your son's struggles kaa kimya, sio ku undermine his cause kwa kwenda kumshitaki kwenye magazeti kwamba hasikii!... Alisema alimkanya mtoto wake huyo aachane na masuala ya migomo na siku chache baada ya onyo lake ndipo akatekwa na kujeruhiwa vibaya.
"Nilimkanya kabisa kuhusu mambo ya migomo hasa baada ya kuniambia kuwa amechaguliwa kuwa msemaji mkuu wa madaktari wenzake na kwa bahati mbaya ndiyo yakatokea hayo yaliyotoke
Huyu dada ulimboka kadata kweli.......
Waandishi mmeanza kuzodolewa sasa,,,,,ENDELEEN KUJADILI SUALA LA MWANGOS
Hivi ni lini ataweka mambo bayana kama alivyoahidi mara alipotua nchini au ndo kishawekwa mfukoni maana kila mtu ana bei yake
Ni sawa mnahitaji habari, but be patient hivi unafikiri tatizo lililompata ni dogo? Unahisi familia yake ilijisikiaje kwa yaliyompata japo ameshapona? Hebu mpuzisheni kwanza.
Hata kama Dr Ulimboka akisema Fulani ndie aliyenipiga Serikali ya Mzee Jk itafanya kitu gani? Serikali imesha sema awali kuwa Mkenya ndie aliyemteka Dr Ulimboka hebu angalia hii VideoUkweli ni haki na Haki always ni lazima. Bado tunamtaka Dr.Ulimboka atueleze ukweli
Hata kama Dr Ulimboka akisema Fulani ndie aliyenipiga Serikali ya Mzee Jk itafanya kitu gani? Serikali imesha sema awali kuwa Mkenya ndie aliyemteka Dr Ulimboka hebu angalia hii Video
sasa hapa huo ndio ushahidi wa Serikali wakulaumiwa nani kama sio Serikali?