Ninaniniyule
Senior Member
- Mar 20, 2018
- 101
- 145
.Si Dhani kama Picha inaendana na maswali niliyouliza.Labda naomba unisaidie Mzee wangu kuelewa maana ya hii picha na majibu ya maswali yangu.View attachment 2099988
Njia nyepesi sana ya kulimaliza hili tatizo ni kwetu sisi kulisema hadharani kuwa hatupendi kuona taasisi za umma zinahodhiwa na watu wa dini moja.
Sheikh Ponda hata akiongoza maandamano atapuuzwa.
Aliongoza maandamano dhidi ya Ndalichako na NECTA yake Ndalichako akapandishwa cheo kuwa Waziri wa Elimu.
Ujumbe kwa Waislam ulikuwa wao hawajali hisia zetu.
Hili ni la BAKWATA na Mufti.
Yeye aseme.
Atasikilizwa.
Waziri wa Mambo ya Nchi za Nje Mama Mulamula kateua Wajumbe wa Baraza la Uongozi wa Kituo Cha Kimataifa Cha Mikutano Arusha (AICC) hakuna Muislam hata mmoja.
Mzee wangu kwa kauli yako hii unamaanisha mwalimu hakuacha misingi mizuri ?Mwalimu angeacha misingi mizuri leo
Mzee wangu naomba kujua tu kwamba ikiwa kutakuwa na balance baina ya idadi ya waislamu na wakristo katika wizara fulani hilo jambo lina faida gani kwa waislamu ?View attachment 2099988
Njia nyepesi sana ya kulimaliza hili tatizo ni kwetu sisi kulisema hadharani kuwa hatupendi kuona taasisi za umma zinahodhiwa na watu wa dini moja.
Sheikh Ponda hata akiongoza maandamano atapuuzwa.
Aliongoza maandamano dhidi ya Ndalichako na NECTA yake Ndalichako akapandishwa cheo kuwa Waziri wa Elimu.
Ujumbe kwa Waislam ulikuwa wao hawajali hisia zetu.
Hili ni la BAKWATA na Mufti.
Yeye aseme.
Atasikilizwa.
Waziri wa Mambo ya Nchi za Nje Mama Mulamula kateua Wajumbe wa Baraza la Uongozi wa Kituo Cha Kimataifa Cha Mikutano Arusha (AICC) hakuna Muislam hata mmoja.
Saf...Mzee wangu naomba kujua tu kwamba ikiwa kutakuwa na balance baina ya idadi ya waislamu na wakristo katika wizara fulani hilo jambo lina faida gani kwa waislamu ?
Mfano waziri wa mambo ya ndani kwa sasa ni muislamu,je waislamu wamefaidika vipi na huyu mtu kuwa waziri ?
Sawa sawa.Saf...
Kinachotafutwa si faida au hasara.
Kinachotafutwa ni uwiano na haki kwa wananchi wote kushiriki katika uongozi.
Kuachia watu wa dini moja kuhodhi serikali kunaleta fitna katika jamii.
Kinachotafutwa ni kuondoa hii fitna ili upatikane umoja.
View attachment 2100132
Unafikiri hakuna haja ya kuwaelimisha watanzania kwamba kuwepo kwa watu wa dini moja sehemu fulani hakuna manufaa na dini hiyo hivyo watanzania tusianzishe fitina,unafikiri hakuna haja ya kuwaelimisha hivi watanzania ?Kinachotafutwa si faida au hasara
Naomba kujua hii fitina si inaletwa kwa sababu ya fikra za wananchi kudhami kwamba watu wa dini fulani watanufaika zaidi kuliko watu wa dini ambayo haijachaguliwa.Kuachia watu wa dini moja kuhodhi serikali kunaleta fitna katika jamii.
Mfano mzuri wakati wa mwalimu tumefaidika kusoma kwako kwamba alipokewa na waislamu wengi sana.Kinachotafutwa ni kuondoa hii fitna ili upatikane umoja.
1.Ningependa kujua pia.Ni kipindi gani wameanza kuongezeka.
2.Hadi sasa 20:80 inaendelea kama mchanganuo ulivyouweka hapo juu? Maana hv sasa wateuliwa ni wengine.
3.Mgawanyo wa wateuliwa ukoje hv sasa.
Sent from my TECNO CD7 using JamiiForums mobile app
Maswali na majibu haviendani.
Saf...Sawa sawa.
Unafikiri hakuna haja ya kuwaelimisha watanzania kwamba kuwepo kwa watu wa dini moja sehemu fulani hakuna manufaa na dini hiyo hivyo watanzania tusianzishe fitina,unafikiri hakuna haja ya kuwaelimisha hivi watanzania ?
Kwa sababu kumbe watanzania wanaweza kuleta fujo na fitina katika jambo ambalo wala halina madhara yoyote .
Hii inakuwa ni hatari kwamba watanzania waanze kuingia fitina wao kwa wao kwa jambo ambalo hata wakiliwacha halina shida.
Naomba kujua hii fitina si inaletwa kwa sababu ya fikra za wananchi kudhami kwamba watu wa dini fulani watanufaika zaidi kuliko watu wa dini ambayo haijachaguliwa.
Je kwa nini wewe kama mzee wetu usianzishe kampeni ya kuwaelimisha watanzania hasa watu wa dini yako kwamba wasije kuleta fitina ikiwa watu wa dini fulani wamechaguliwa kwani hakuna madhara yoyote,je kwa nini usiwaelimishe watz mzee wangu ?
Mfano mzuri wakati wa mwalimu tumefaidika kusoma kwako kwamba alipokewa na waislamu wengi sana.
Na waislamu wale walikuwa na umoja na mshikamano kwa nyerere.
Kama kuwa na watu wa dini moja kunaweza kuleta fitina na kuondoa mshimamano kwa nini wakati huo waislamu walionesha mshikamano na nyerere wala hawakuleta fitina yeyote kama ambavyo wewe unahofia leo ?
Hapana tuangalie zanzibar kwanza ambako kuna waislamu watupu kabla yatujafanya huku.Saf...
Tuanze kwa kuchagua Waislam watupu tuangalie itakuwaje?
Kwa nini umechagua waislamu na tusianze na wakristo wachaguliwe kwanza ?Tuanze kwa kuchagua Waislam watupu tuangalie itakuwaje?
Pia mzee wangu hii haitokuwa kampeni itakuwa ni kuendeleza lile linaloitwa tatizo kwa sababu raia hujawapa kampeni yoyote ya kukabiliana na jambo hiloTuanze kwa kuchagua Waislam watupu tuangalie itakuwaje?
Kwa hiyo unakusudia kumbe vyeo vya madaraka vinatakiwa vitolewe kuzingatia dini ambazo kipindi hicho cha uhuru watu wa dini hiyo walipambana kuikomboa tanganyika?Scars,
Hatuna Wapagani.
Tujaalie wapo.
Uliwaona Wapagani wakati wa Maji Maji au kupigania uhuru wa Tanganyika?
Huwezi kuwapambanisha Waislam hata na Wakristo katika historia ya Tanganyika.
Day...Maswali na majibu haviendani.
Labda kama umeamua kubadili maswali yangu uweze kujijibu mwenyewe
Shukrani Mzee wangu.
Sent from my TECNO CD7 using JamiiForums mobile app
Mzee wangu waarabu wa makka waliutetea uislamu kwa hali na mali kuliko watu wengine wowote dunianiHuwezi kuwapambanisha Waislam hata na Wakristo katika historia ya Tanganyika
Saf...Hapana tuangalie zanzibar kwanza ambako kuna waislamu watupu kabla yatujafanya huku.
Je kwa zehemu kama zanzibar wizara zote zina waislamu wewe unadhani wamenufaika ama kupata jambo gani kubwa katika uislamu au kwa waislamu alafu ikawa uislamu wa huku bara haujalipata jambo hilo kutoka katika serikali ya bara ambako kuna wakristo wengi ?
Kwa nini umechagua waislamu na tusianze na wakristo wachaguliwe kwanza ?
Pia mzee wangu hii haitokuwa kampeni itakuwa ni kuendeleza lile linaloitwa tatizo kwa sababu raia hujawapa kampeni yoyote ya kukabiliana na jambo hilo
Scars,Kwa hiyo unakusudia kumbe vyeo vya madaraka vinatakiwa vitolewe kuzingatia dini ambazo kipindi hicho cha uhuru watu wa dini hiyo walipambana kuikomboa tanganyika?
Kwa maana hiyo mkristo au muislamu ambaye baadaye akaja kuwa atheist tafsiri yake ni kwamba hapaswi kuwa sehemu ya madaraka kwasababu tangu aache ukristo anakuwa amekosa sifa?
Hawezi kujibu maswali ya msingi lazima atayakimbia ataendelea kurudia hoja zake zile zile,angalia mada zake anazoanzisha akibanwa maswali anayakwepaMaswali na majibu haviendani.
Labda kama umeamua kubadili maswali yangu uweze kujijibu mwenyewe
Shukrani Mzee wangu.
Sent from my TECNO CD7 using JamiiForums mobile app
Asante ningependa sana kupata majibu ya hoja zangu kwa sababu sijauliza ili nisifiwe bali nimeuliza ili nijibiweSaf...
Mjadala mzuri nimependa hoja zako.
Belo,Hawezi kujibu maswali ya msingi lazima atayakimbia ataendelea kurudia hoja zake zile zile,angalia mada zake anazoanzisha akibanwa maswali anayakwepa
Huyu mzee Mohamed Said anaona kama anatetea dini kumbe anajitia ujinga kichwani...Mzee wangu, Mo
Naishi Tanzania sasa kwa zaidi ya miaka 30.
Katika kipindi hiki nimekua, nimesoma, nimetafuta kazi na nimefanya kazi na WATANZANIA.
Katika watanzania hawa, walikuwepo makabila tofauti na ya kwangu, dini tofauti na yangu.
Mpaka sasa hivi naandika, sijawahi kubaguliwa ama kumbagua mtu kwa dini yake.
Sijawahi kubaguliwa, wala mimi sijawahi kumbagua mtu kwa kabila lake.
Ni tofauti sana na hapo Kenya tu kwa mfano ambapo watu wanabaguliwa kwa makabila hadi leo.
Au ni tofauti sana na pale Nigeria (moja kati ya taifa elite kabisa Africa) ambapo wakristo na waislam wanabaguana kila leo.
Wanachomeana makanisa na misikiti.
Kwa hili, Baba wa taifa Mwl J.K Nyerere abarikiwe sana.
Mungu aendelee kumpa pumziko la milele.
He was one in a million
Wote tunajifunza hapa na ndio maana tunafanya mjadala kubadilishana mawazo tupate maarifa mapyaScars,
Najifunza mengi hapa.