Umrushe hivyo ukiwa umejifunga taulo huku ndani hujavaa kitu halafu una mkono wa sweta na mbele yako kuna marafiki wa mke wako , mara paa taulo linaanguka utaokota taulo au utamdaka mtoto?