stevoh kuwa makini ile thread nimeipitia nimepigwa na butwaa akipost huyo unayemwita mkeo ukija kwenye qoute unakuta hiyohiyo post ina jina la mndali
Aisee nina wasiwasi na huyu stevoh, isije ikawa tayari alishalishwa madude kwa hiyo nyeusi anaiona njano
tunakusubiria mkuu wengine tumepitwa tulikua mabwepande.Post imekufa na ushahidi wangu, lakini bado lazima nifungue uzi mpya. Nakinukishaaaa, ngoja tutoke white party. Kama vipi ntajibanza hata sehemu niwamwagie ukweli