mshana org
JF-Expert Member
- Jan 28, 2012
- 2,091
- 620
nahitaji kujuzwa warembo masingo waliopo humu.baada ya mbio zangu kwa elizabeth dominic kugongo ukuta sasa nahtaji wakunituliza.lakini naogopa kuvamia wenye ndoa zao nisije pandikiziwa zinga la bush mie.tafhadhali baba v na kamati yako ya mahusiano naomba ushirikiano wenu.nb.kama yupo aliye singo anakaribishwa kwenye kisiwa cha malavidavi.
Wenu
Mkiva

nendeni kule utambulisho mtapata wengi sana kule...
We nawe mkiva si ungesubiri kwanza mi nipateee? Ah!