Baba Riz anapoingia jikoni....!


Aise mkuu bado una mawazo ya kizamani mno, kwani baba hawezi kupika hata kama mke na watoto wa kike wakiwepo? Kuna ubaya gani kwa mzee kukorofisha msosi kwa familia yake?
Na sio swala la kupika tu, baba anaweza akaosha vyombo, kusafisha nyumba na kazi zingine zote za nyumba, hata kama yeye ni breadwinner, hayo ndio maisha tuliyonayo sasa, hakuna kazi ya kike wala kiume kwenye dunia ya leo, labda ndio maana umaskini hautuishi bongo kwa fikra hizi kama zako?!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…