naomba namba zake ba mkwe... ila asiwe na kamdomo wala GubuHayo ni maombi ya mdada mmoja ambae,nilimlea toka akiwa na miaka 3 hadi kumfikisha chuo kikuu,kwa ngazi ya shahada ya uzamili,sasa ana miaka 34,hajazaa,hajaolewa.
Kila akipata mwanaume hafiki nae mbali,japo ni mdada ambae hanywi pombe,havuti sigara,sio mtu wa kutoka out na nimemlea kwa dini ya kikatoliki japo mie ni muislamu,kwani ndio dini ya wazazi wake ambao kwa sasa hawako duniani
Ana kazi yake na kipato japo sio kikubwa.Kasubiri sana kupata mchumba hapati,tunaongea nae sana,nilimuomba padri wake anakosali amuombee,lakini hakuna kitu,alipata wanaume kama 3 hivi na kumbe walikuwa wanamtapeli maana wote wana wake.
Sasa jana kanipigia simu,baba niruhusu tu ni zae bila ndoa, umri unapita,aisee bila kuficha nililia sana,mwishowe nimemwambia sawa,fanya roho yako itakavyokuongoza
mikolo mileki mingiKasongo ye ye ee
Mobali na ngai
Kasongo nga nawe oo
Zonga libala ee
Kasongo yo yo, mobali na ngai
Kasongo nga nawe oo
Zonga libala ee
Nga na ndako Kasongo
miso na nzela
Soki okozonga dia ee
yebisa nga ye ee
Libala na ndako Kasongo
batunaka ngai
Tata azali wapi ee
naloba nini ee
siwezi kukupa kwa hiyo lugha unayotumianaomba namba zake ba mkwe... ila asiwe na kamdomo wala Gubu
nitumie lugha gani ba mkwe?siwezi kukupa kwa hiyo lugha unayotumia
Umefanya nitafute miwani yangu ya macho harakaharaka nikajua umenitumia Babu yako Salio la sikukuu π
Kama anafanya kazi hapo kwako anafanya nini. Mwambie aishi kwake ndio ataelewa. Vinginevyo tutakushangaa. Huko atajifunza maisha yalivyo. Hata hayo maombi si ya kawaida. NASISITIZA APANGE NYUMBA AISHI HUKO NA HUYO BWANA WAKE. PAMBAFU ZAKE. AMEKUCHOKAHayo ni maombi ya mdada mmoja ambae,nilimlea toka akiwa na miaka 3 hadi kumfikisha chuo kikuu,kwa ngazi ya shahada ya uzamili,sasa ana miaka 34,hajazaa,hajaolewa.
Kila akipata mwanaume hafiki nae mbali,japo ni mdada ambae hanywi pombe,havuti sigara,sio mtu wa kutoka out na nimemlea kwa dini ya kikatoliki japo mie ni muislamu,kwani ndio dini ya wazazi wake ambao kwa sasa hawako duniani
Ana kazi yake na kipato japo sio kikubwa.Kasubiri sana kupata mchumba hapati,tunaongea nae sana,nilimuomba padri wake anakosali amuombee,lakini hakuna kitu,alipata wanaume kama 3 hivi na kumbe walikuwa wanamtapeli maana wote wana wake.
Sasa jana kanipigia simu,baba niruhusu tu ni zae bila ndoa, umri unapita,aisee bila kuficha nililia sana,mwishowe nimemwambia sawa,fanya roho yako itakavyokuongoza
Tabia njema muhimu hao wenye pesa wamekosa kuolewa itakuwa wanatabia chafuu plus viburi, mwanaume havimbiwiiMoney is not everything!
Wapo wenye pesa tunawaona na wana ukame wa kupata wanaume.
Hiyo MBA nimeikubali mzee mwenzanguπ€£π€£π€£Umefanya nitafute miwani yangu ya macho harakaharaka nikajua umenitumia Babu yako Salio la sikukuu π
Kuna wakati bora kuchukua uamuzi wa namna hiyo
Kwa maisha ya sasa, Vijana wengi wa miaka kati 23-36 wengi hawapo tayari Kwa majukumu ya kuwa na familia
Walio wengi ni MBA(married but available) ndiyo akina sisi na Mzee mwenzangu ERoni
Kumbe tupo wengi.story yake inafanana na yangu kwa asilimia kubwa. mimi nilipofikisha umri huo nikaamua kuzaa bila ndoa. sasa hivi ni 36 na katoto kangu kana miaka miwili. nina mfurahia sana mtoto wangu sasa napambana kwa ajili yake. na nina amani mambo ya ndoa nilishayaweka kwenye dampo la taka sasa ni kupambana tu na maisha. unaweza subiri ndoa mwisho wa siku umri ukakuacha kabisa ndoa ukakosa na mtoto ukakosa vilevile.
Dadakidoti, ongeza mtoto wa pili mapema iwezekanavyo: iwe kupitia kwa huyo uliyezaa nae mtoto wa kwanza au pata Dume la Mbegu jingine kabla umri haujakutupa mkono!haha mmoja ananitosha madam nishaitwa mama inatosha. napambana kumtengenezea huyu mmoja kesho yake.
uwe unasoma vizuri mtoto yupo dodoma mie siishi nae yupo job kwakeKama anafanya kazi hapo kwako anafanya nini. Mwambie aishi kwake ndio ataelewa. Vinginevyo tutakushangaa. Huko atajifunza maisha yalivyo. Hata hayo maombi si ya kawaida. NASISITIZA APANGE NYUMBA AISHI HUKO NA HUYO BWANA WAKE. PAMBAFU ZAKE. AMEKUCHOKA
Ndio ujue wanaume hawajali mambo ya elimu nankipato cha mwanamke.Hayo ni maombi ya mdada mmoja ambae,nilimlea toka akiwa na miaka 3 hadi kumfikisha chuo kikuu,kwa ngazi ya shahada ya uzamili,sasa ana miaka 34,hajazaa,hajaolewa.
Kila akipata mwanaume hafiki nae mbali,japo ni mdada ambae hanywi pombe,havuti sigara,sio mtu wa kutoka out na nimemlea kwa dini ya kikatoliki japo mie ni muislamu,kwani ndio dini ya wazazi wake ambao kwa sasa hawako duniani
Ana kazi yake na kipato japo sio kikubwa.Kasubiri sana kupata mchumba hapati,tunaongea nae sana,nilimuomba padri wake anakosali amuombee,lakini hakuna kitu,alipata wanaume kama 3 hivi na kumbe walikuwa wanamtapeli maana wote wana wake.
Sasa jana kanipigia simu,baba niruhusu tu ni zae bila ndoa, umri unapita,aisee bila kuficha nililia sana,mwishowe nimemwambia sawa,fanya roho yako itakavyokuongoza
Kama yupo job kwake mwambie huyo mtu amuoe.uwe unasoma vizuri mtoto yupo dodoma mie siishi nae yupo job kwake
Kha! Kwa hiyo mnawaombaga hao jamaa wakojolee ndani ama mnawakaba kabaliKumbe tupo wengi.story yake inafanana na yangu kwa asilimia kubwa. mimi nilipofikisha umri huo nikaamua kuzaa bila ndoa. sasa hivi ni 36 na katoto kangu kana miaka miwili. nina mfurahia sana mtoto wangu sasa napambana kwa ajili yake. na nina amani mambo ya ndoa nilishayaweka kwenye dampo la taka sasa ni kupambana tu na maisha. unaweza subiri ndoa mwisho wa siku umri ukakuacha kabisa ndoa ukakosa na mtoto ukakosa vilevile.
uwe unasoma maelezo yote kabla kutoa commentsKama yupo job kwake mwambie huyo mtu amuoe.
Hayo ni maombi ya mdada mmoja ambae,nilimlea toka akiwa na miaka 3 hadi kumfikisha chuo kikuu,kwa ngazi ya shahada ya uzamili,sasa ana miaka 34,hajazaa,hajaolewa.
Kila akipata mwanaume hafiki nae mbali,japo ni mdada ambae hanywi pombe,havuti sigara,sio mtu wa kutoka out na nimemlea kwa dini ya kikatoliki japo mie ni muislamu,kwani ndio dini ya wazazi wake ambao kwa sasa hawako duniani
Ana kazi yake na kipato japo sio kikubwa.Kasubiri sana kupata mchumba hapati,tunaongea nae sana,nilimuomba padri wake anakosali amuombee,lakini hakuna kitu,alipata wanaume kama 3 hivi na kumbe walikuwa wanamtapeli maana wote wana wake.
Sasa jana kanipigia simu,baba niruhusu tu ni zae bila ndoa, umri unapita,aisee bila kuficha nililia sana,mwishowe nimemwambia sawa,fanya roho yako itakavyokuongoza
Kashindwa kuvumilia,anataka watoto ana 34 ana miaka michache mno ya kuzaa,otherwise hatazaa kabisa,nimemuelewa,ninemruhusu,sikuwa na njia nyingineUlifanya makosa kumkubali Mkuu NDOA haikimbiliwi ni jambo sensitive Sana, wangapi wameoa na kuolewa na hawakumaliza hata mwaka katika NDOA? Kwaiyo Yeye kuchelewa kuolewa sio tatizo ni MUNGU anamuepusha na matapeli kama hao wame za watu means kuna mtu SAHIHI kwake yupo ni swala la muda SAHIHI kufika tu na kila kitu kitakaa sawa
Right things happen For right peoples at right time and right place πtengua lidhaa yako Mkuu kwa MTOTO wako ili umuokoe na kuzimu
NB: mazezi ya kuzimu tunaanza kuyafanya hapa hapa duniani, na mazoezi ya pepo tunaanza kuyafanya hapa hapa
Heaven is just a presence peace, and hell is just a lack of peace βοΈ
Hakuna single mama mwenye AMANI π
πππππππππuwe unasoma maelezo yote kabla kutoa comments
Simulizi yako ina uwalakini.Mtoto uliyemlea tangu akiwa na miaka mitatu(three) na anakuita baba huwezi kumuita mdada.Halafu neno "mdada" halipo kwenye kiswahili fasaha labda cha magumashi.Huyo unatakiwa umuite binti yako na kamwe si vinginevyo. Pili,wewe unaanzaje kujua mambo ya ndani ya binti yako hadi yahusuyo unyumba wake?Hayo ni maombi ya mdada mmoja ambae,nilimlea toka akiwa na miaka 3 hadi kumfikisha chuo kikuu,kwa ngazi ya shahada ya uzamili,sasa ana miaka 34,hajazaa,hajaolewa.