Hatari sana mkifiwa Wazazi hasa Baba Mkiwa wadogoYatima tuwapende na sio kuwadhulumu na kwa kuwa nguzo zao zimeondoka au nguzo Moja Imeondoka !
Watu wanamuangalia hizo Hela atatumia miaka mingapi.
Ni hapa hapa darIyo kama sio Tanga, basi maeneo ya pwani, au ikizid sana lindi au mtwara ndo kuna jamii za aina hiyo. Hapo huyo kaka nae ana mke zaid ya mmoja utakuta! Kuoa wake wengi ni kuongeza umaskini kwenye jamii! Ndo maana maeneo hayo 90% ni maskini!
Rasimu ya Warioba irudi mezaniTatizo ni CCM.