Mkalukungone Mwamba
JF-Expert Member
- Aug 29, 2022
- 3,021
- 6,858
Acha apewe tu mkuu. Hadi tutakapo kuwa na akili timamu tutapata viongozi stahiki.Kwamba baba levo ana enda kuwa mhesimiwa? 😂😂
Huyu mama ana tupeleka wapi? Ana achwa DR ana chukuliwa la sabaAcha apewe tu mkuu. Hadi tutakapo kuwa na akili timamu tutapata viongozi stahiki.
Huyu mama ana tupeleka wapi? Ana achwa DR ana chukuliwa la sabaAcha apewe tu mkuu. Hadi tutakapo kuwa na akili timamu tutapata viongozi stahiki.
Waziri wa Mambo ya Nje🐼Kwamba baba levo ana enda kuwa mhesimiwa? 😂😂
Wapo majimbo mawili tofauti mkoa mmoja.Baba Levo hawezi mshinda Serukamba kwa namna yoyote ile
Sasa mkuu unataka kilaza akapambane kuchakata akili kubwa ataweza wapi? Mwache apelekewe la 7 B ili waweze kujadili hoja zake! Maza ni takataka!Huyu mama ana tupeleka wapi? Ana achwa DR ana chukuliwa la saba
Serukamba yuko Kigoma Kaskazini. Walibadilishana na Zitto kipindi cha Rais Jiwe!Baba Levo hawezi mshinda Serukamba kwa namna yoyote ile
Mbona Serukamba uliyemtaja kwenye heading hayupo kwenye orodha ya waliopendekezwa na mkoa. Tuchue kipi tuache kipi?hatimaye kupendekeza majina ya Kilumbe Shaban, Baruan Muhuza na msanii maarufu anayefahamika kwa jina la Baba Levo, wakiamua kumwondoa Dkt. Sovu kwenye orodha hiyo ya mwisho.
Kwamba baba levo ana enda kuwa mhesimiwa? 😂😂