siku mwanangu akiniuliza baba kwanini sisi maskini ntamwambia kwa sababu ya chama cha mapinduzi.ntamwambia akitoka shetani kwa ubaya kinachofuatia ni chama cha mapinduzi.tena ntamwambia ktk maisga yake yote anapolala na kuamka asisahau kukiombea kifo chama cha mapinduzi.that will be my answer to my kid