Baba hataki nioe mama anataka nioe

Mtu mzima anapangiwa kuoa na mzazi wake. Kweli wanaume wa sasa wana "umama" .
 
kiukweli ndoa haitaki maigizo.kama kweli una miaka 20 na binti 25 nakushauri fata ushaur wa mzazi wako wa kiume.mke unaoa wewe na si mama yako mzazi na kamwe utamlea wewe na si mama yako.jipange kwanza ndoa siyo mchezo wa kuigiza

Late 20's na sio miaka 20.
 
Kama una miaka 29, huo umri unafaa kuwa na mke! Maana wanaume huwa tunaanza kujitambua tukiwa na miaka 28-35, na mambo mengi ya ujana huwa yanapungua. Baba yako anakupa sababu gani za msingi za kutooa? Msikilize mzee maana anauzoefu na mambo ya ndoa. Wanawake mara nyingi huwa hawana sababu za msingi kwenye mambo ya ndoa
 
labda ungemuuliza mzee maswal yafuatayo
01:km ww uko kwnye 26au zaid anataka ukifikia umrigan ndo uoe
pia mwambie umri unamchango mdog sn ktk mapenz sababu kuna watu wameoana wakiwa kwenye 40s lkn bd hawaja kua stable
02😛ia mwambie saiv maisha c km zaman life expectancy imeshuka ukijitahid sn 50s maanayake unatakiwa at least ukiwa kwenye 20s uwe umeshaoa upate wkt mzur wakulea wtt ww n mkeo
mwisho kbs ht bible imeandikwa utaacha wazaz utamfuata mkeo so we fanya kile kitu. ambacho unaskia aman moyon ucjal m2 yyt pia omba sn Mungu uwe na hekima ya kufanya hayo yt
 
Kwani Muu ni kuwa na Kazi ya Kudumu au ni suala la wewe kuwa na Utayari wa Kuwa baba au Kuwa mama.. Ndoa za siku hizi zinaletwa na mihemko mingi ,. Unaona Mwanamke wako anakimbizana na Umri wa Kuzaa.. Kwa hiyo yeye anachotaka ni kuwahi Umri wa Kuzaa kwa kifupiu hakuna Ndoa hapo ila kuna Mbio za uzaa zinakimbiwa... Walkati Mzee wako anajua kuwa bado sana kwa umri wako.. Ningekushauri Ujihakikishie kuwa kama Kweli wewe upo Tayari au unataka kumridhisha Mwanamke wako ambaye yeyey hitaji lake ni Umri unakimbizana na Umri wa Kuzaa...
 
Oa mapema...zaa...tunza wanao ungali na nguvu, uepuke majuto ..umri ndo huo unakwendaaaa..Niko early 40s na ndo Nina katoto ka 1.7 yrs. Japo elimu ninayo lakini....
 
Oa mapema...zaa...tunza wanao ungali na nguvu, uepuke majuto ..umri ndo huo unakwendaaaa..Niko early 40s na ndo Nina katoto ka 1.7 yrs. Japo elimu ninayo lakini....
Asante kwa experience Mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…