Miaka ya nyuma kidogo miaka ya 2011 hivi, kulikuwa na mchungaji ama niseme nabii anajulikana kwa jina hilo pale Mwanza.
Watu wengi walioenda kanisani kwake walitekwa akili kimazingara na kuwafanya wauze hata mali zao za thamani wapate pesa ya kupeleka sadaka.Kuna waliofilisika kabisa na kubaki na kilio wakati familia zao zikiteseka.
Baada ya muda huo wote,akaibuka Mfalme Zumaridi.Sitaki kuelezea sana hapa.Lakini kumekuwa na kuibuka kwa madhehebu au mitume na manabii wenye utata mwingi sana kama yule wa Kenya.
Je, kuna mtu ana taarifa na baba godi kwa sasa?