Naskia kaibuka mtoto mmoja leo, kaweka ngumu anasema lazima waototo wote wawekewe kwenye orodha kwanza, haya sasa tusubitri mapambazuko ya kesho, Baba atilhalsemaje, je atamchapa huyu mtoto na kumfunga mdomo ili kura iwahi ndani ya siku 84 au atasoma upepo kwanza?
Kuna jamaa yangu kaniambie leo wasira ameonekana ofisi za nec. Sijui anashawishi nini tusubiri tutayajua tu
Baba Muombe MUNGU sana, una kipindi kigumu. MUNGU akutangulie