Muuza simu used
JF-Expert Member
- Aug 23, 2017
- 4,393
- 7,045
walichonikera chini ya daraja la mfugale wamezuia watu kulalaMajitu yanasema nchi ni tajiri ..
Kumbe wanajilipa posho na mishahara minono huku wananchi wanakula barabara na madaraja ....huku wakishindia mulo mmoja ...
Nchi ni masikini tu ...
Mama samia okoa nchii hii ,hakuna haja ya kujitenga na mataifa mengine vutia wawekazaji waje ajira zirudi ..
walichonikera chini ya daraja la mfugale wamezuia watu kulala
Yawezekana ulikuwa kule, wao ndio wameleta huku
Wale waliojilipa Mill 600Majitu yanasema nchi ni tajiri ..