Code Breaker
JF-Expert Member
- Mar 2, 2014
- 1,019
- 446
Baba mmoja mtaani kwao alikuwa anamfundisha mwanae wa darasa la tatu hesabu za kujumlisha ili amuongezee uwezo wa kumudu hesabu na kulipenda somo hilo..... Nilikuta mazungumzo yao yakiwa hivi:
Baba: Wewe Kimbegu, mbili jumlisha tatu ni ngapi?(2+3=?)
Kimbegu: Kimya kwa muda......
Baba: Hujanielewa au?
Kumbegu: Katikisa kichwa kuashiria kukubali kwamba hajaelewa....
Baba: Hebu fikiria Aunt yako kakupa maandazi mawili akakuongeza na mengine matatu... Jibu kitakuwa nini?
Kimbegu akatabasamu.... Akajibu " Asante Aunt"
Baba: Mxuuuuuuuu..... Inabidi tukapime vina saba na Wewe .