Baafa ya kukataa kutindua Makinikia yake yeye ameanza kuja na mipasho

Leo naandika short and creal juzi nilikutana na demu flani hivi hapa kwenye banda langu la kiepe ana makinikia kiasi chake ,

Kama utani nilimtania"Amina we ni mzuri nikikupata kunako 6 kwa 6 nakula kote kama samaki" aliishia kucheka na kuniambia we Zero nikikupa utaweza, mi nikapotezea ,

Jana mchana kama zari akapita tena mie kiutani nikampa apointment mida ya jioni tuonane kweli aisee mida ilivyofika mtoto katia timu kibandani nilivyopiga piga kumaliza nikafunga na kuongozana nae mpaka ghetto,

Aisee kama Utani sikuongea mengi mtoto kajaa nikasema basi nipe kama ulivyosema jana akaniambia no sweat usiwe na haraka nenda kaoge kwanza,

Nilivyorudi nikamkuta kama alivyozaliwa baada ya moja mbili tatu za game la kwenye papuchi dogo si akaforce nigeuze injini niamie uwani,

Mie Zero na Uzero wangu huu nikasema No siwezi kula haya makinikia na hicho ndio kiapo changu siku zote,

Basi nilivyokataa aliniponda kinyama sasa leo kapita hapa kibandani na bonge la mpasho "ooh nilikuona mjanja kumbe bado wa kijijini ulitaka nyama umeshindwa kuitafuna"

Niko hapa nawaza kesho sijui atapita na msemo gani mwingine?

Cc Zero IQ
tukiachana na stori yako ya kutunga. Nikupe tu mwanga kwenye matumizi ya "cc" hicho ni kufupi cha 'carbon copy', ukiandika ujumbr halafu ukaweza cc fulani maana yake huo ujumbe mbali na kufika ulikokusudiwa lakini upitie na kwa huyo fulani.
So huwezi andika ujumbe halafu ukaweka cc jina lako.
 
Nkajua ni closed captions
 
Na mi najua maana yake ila nataka inifikie mimi mwenyewe mr Zero IQ
 
Hahahahahaha
Kwaiyo hata Uko Mbele ya safar alikunyima kwasababu umekataa kuanzia nyumaaaa ya safar
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom