Baadhi ya wanasiasa wa Tanzania ni adui wa maendeleo yetu, tuwakatae

Lendomz

JF-Expert Member
Feb 9, 2017
446
381
Siasa kwa mwanasiasa mmwenye kujali mambo yake tu ni adui kwa maendeleo ya taifa lake bila yeye mwenyewe kujua !!tatizo la mwaafrica anawazia tumbo lake wala si taifa lake LA kesho tofauti kabisa na wazungu!wengi wetu Wa Africa tumejawa na wivu chuki nk!!Hatupendi kuona MTU mwingine akifanikiwa!!Baya zaidi hatupendi kuona maendeleo yakiletwa na mtu mwingine!!utashanga mtu anaona wivu akiona mwenzake anafanya jambo jema!!anasema ingekuwa Mimi ndo naleta maendeleo haya maana kesho watu wangenitukuza!!mwafrica anawaza kujikweza na siyo kuleta mabadiliko chanya kwa nchi yake! Ukiona mwanasiasa Wa Africa anafanya jambo jema ujuage kuna kitu anakiwatafuta kwako!!kura!!ni tofauti na babu zetu waliopigania Uhuru Wa nchi zetu!!watu wale walikuwa talented tofauti na watu Wa sasa hivi!!Africa imekosa watu mhimu kama kina hayati Julius kambarage Nyerere,Patrice Lumumba, nkwame nkuruma,Lwagasore ,Nelson Mandela nk!!these people have gone with their good spirits .our leaders have not inherited the spirit of the late people who fought for our liberation!!! Dunia imebadilika sana!!kipindi hiki mtu ukijaribu kuleta maendeleo ya taifa lako kina watu wengine hawalali usiku na mchana wakipanga kukukwamisha!! Hawa ndiyo wanaoleta umaskini ndani ya taifa letu!! Wanasiasa wamekuwa watu Wa ajabu sana unashindwa kujua kitu wanachopigania!!mwaka 2008 _2015 liko kundi LA wanasiasa walikuwa mstali wambele kupinga ufisadi .ilifika wakati mpaka kuwapaka matope watu Fulani!!kama kawaida mwanasiasa Wa tanzanzania mchumiatumbo walibadili gia anagani wakatuambia kuwa walikuwa wanamsema kuwa ni fisadi wamengundua kuwa siyo fisadi!!ikashangaza wengi!!mwanasiasa Wa Tanzania ni opportunistic!!! Wanasiasa Wa Africa wamejawa na wivu na chuki!!wakahubiri kuwa tunataka raisi dikteta!!rais JPM akatokea from no where maana hakuwa ameandaliwa na makundi!!alijikuta amebibu simu ikang'ang'ania!!Mungu huwa asikia maneno ya watu!!rais huyu amejibambanua kuwa mtetezi Wa wanyonge,anataka kutuletea maendeleo pasipo kuchelewesha,anapinga ufisadi,anapinga madawa ya kulevya,anapinga wakweepa kodi,lakini kwa makusudi kabisa yako makundi ya wanawasiasa wenye wivu wachumiatumbo wanampinga !utasikia wanasema huyu ni ni dikteta ,Mara ana ukabila,Mara anateka watu!!wengine wanajipanga kuhama chama eti kwa sababu wameachishwa uwaziri !!!wanataka kujiunga kikundi kikubwa ili wamuangushe rais aonekane anafanya mabaya !!!Hapo ndipo unapoona sisi Wa Africa tulilogwa na aliyetuloga alishakufa!!!Maana tulitakiwa tujiunge na rais wetu tuwe pamoja naye bega kwa bega ili sasa tupate maendeleo!!! Lakini utasikia mwanasiasa akisema nataka kutekwa nilitekwa !!!hovyo kabisa!!Bunge chini ya wasimamizi Fulani wanaruhusu hoja za kujadili washukiwa Wa dawa za kulevya(according to Steve Nyerere) imagine!!!! Waashingw kuleta hoja za maendeleo wanaleta hoja za kujiteka !!!

Kwa jinsi hii rais anayo kazi kubwa kutuletea maendeleo!! Mtanzania bado anayo safari ndevu mno!!wanasiasa Wa aina yawatu waliyo chadema na vyama vya upinzania na CCM wanaosingizia kutekwa hawawezi kutuletea maendeleo!!! Aina ya wanasiasa wanaohamahama vyao hawawezi kutuletea maendeleo!!
 
ni kweli hila humu jf hatakuelewa nani.
kama watu wana mlalamikia mungu kila siku kwa mazuri na mabaya kila siku hitakuwa mwanadamu tena tz
 
UZI WENYE AKILI
UKIWA NA AKILI RAHA SANA
HONGERA MLETA UZI
 
Back
Top Bottom