ni tahadhari... twaweza anza na majina lakini nimekua resrved kwa muda kama ni majungu sawa....
Mods wanaweza kuondoa hii thread,
Thanks
the boss the bosss the boss, mwache zitto yupo kwenye mapambano, hii si o celebrit forumsasa role model wao ni ZITTO
unategemea nini?
mtu anaenda kwenye kaburi la mtu aliehusishwa na e kimapenzi na alikuwa mke wa mtu.
na anaongozana na waandishi wa habari bila aibu.....
the boss the bosss the boss, mwache zitto yupo kwenye mapambano, hii si o celebrit forum
sasa role model wao ni ZITTO
unategemea nini?
mtu anaenda kwenye kaburi la mtu aliehusishwa na e kimapenzi na alikuwa mke wa mtu.
na anaongozana na waandishi wa habari bila aibu.....
Wamenasa wenye mtego wa siasa zaidi nashindwa kuelewa hata hawa vijana tunaposhauriana mambo fulani fulani bado hawayaelewi au kuyafanyia kazi.Mimi ni Mtanzania, tena mpenda maendeleo na mpigania vijana... na hasa hasa mpenda haki na maendeleo ya nchi
sipendi viongozi wanaoonyesha picha mbaya kwa namna yoyote ile kwani wanatunyima taswira nzuri
Naomba leo nitoe ushauri kwa baadhi ya wabunge vijana
mmefanikiwa sana nawapongeza
ni wapiganaji wa kweli nawapongeza
ni vijana sana nawupongeza
mko chadema na ccm, nawapongeza
Baadhi yenu mmeanza kulewa, mnalewa sana madaraka na mnalewa pombe sana
mmefikia hadi mnaharibu...
Nikiamua nitawataja ila mmoja kanikera analewa na magrupu ya wanawake wengi, anatukana na kupiga makelele hovyo, ni kijana yupo kanda ya ziwa
haangalii hata amezungukwa na nani
TUSAIDIANE
The Boss, are you suffering from Zittophiabiasis (sijui huu ugonjwa nimeuandika vizuri?)?
Kwanza kabisa naomba niseme wazi, zitto si mlevi na sijawahi kumuona akikurupuka na kushauti kwenye public
MchungajiBila shaka ni Mbunge wa Mkoa wa MARA huyu
nimekusoma, ila nilikua najihami tu... leo nimeongea kuhusu pombe, i am sure wengine watajaribu kutusaidia tupunguze kuiga walipoanguka wakubwa zetu wa zamanisijasema unamzungumzia ZITTO....
ninachosema hawa wabunge wapya wamekuwa inspired na ZITTO kwa mazuri
but siku hizi huyo Zitto ameanza kuwa very corrupt morrally
which usually lead to other forms of corruptions as well
mifano ni hiyo niliyotaja
intavyuu ya diva clouds fm...
na habari ya kwenda kaburi la amina na wapiga picha wa magazeti....