Baadhi ya wabunge vijana mmeanza kutuangusha kwa tabia za ajabu

Mimi nadhani viongozi wote ambao watathibitishwa kuwa walevi,wafukuzwe uongozi.
 
Jamani mbona mmeshupalia sana 1 side?je na wale mashangingi wanaovaa vikuku je wako safi?
 
Ukiondoa Zitto may be na Lissu kwa upande MP's wa upinzani wengine woooooteeee sijaona wanalolifanya na sidhani kama ni wapiganaji. Nilitegemea bunge hili litakuwa moto pande zote CCM/CDM/CUF/NCCR ktk historia ta Tz lakini so far yaani it's a big disappointment!!
 
Tupe majina tuyafanyie uchunguzi ...

Kimsingi ninaowajuwa mimi kweli wote ni wachapa maji wazuri, ila yule mbunge wa Ilemela naona ni mtu makini anaejiheshimu, sio mropokaji na pombe huwa haimtii wazimu, huyu nadhani alianza biashara ya madini muda mrefu, kwahiyo pesa anayo kabla ya kuwa mbunge, kwahiyo posho za ubunge hazimtii ulimbukeni.
Lakini hawa waliopata ubunge kwa hasira za wananchi hata mimi kidogo wananipa mashaka na private life zao, nitawataja kwa majina:
1.Ezekiah Wenje Nyamagana
2. Machemli ukerewe
3. Sugu Mbeya mjini

Tena huyu Sugu nilishamshauri ajiunge na JF lakini wapi Konyagi na red bull ndio anaona za maana, kuspare muda wake hapa kushiriki siasa za kimtandao hana muda. mimi nafikiri itungwe kanuni ni marufuku kwa mbunge wa Chadema kutokuwa na Laptop na ni lazima washiriki kwenye social network.
 
Ukiondoa Zitto may be na Lissu kwa upande MP's wa upinzani wengine woooooteeee sijaona wanalolifanya...
kaka acha kuwa mbinafsi,kule siyo kuropoka ropoka, unaenda kwa hoja na sumtym hoja ya chama anaweza kuibeba mbunge m1 not nessesarily wote waongée..lakini pia hujawatendea haki wtu km myika,lema..etc!. kuwa bungeni ni zaidi ya hoja zinazotolewa na mtu m1 m1..imagine zitto anaongea wenzake wote hawapo kwny Vitini kwao!
 
Mmmmhhh!!!!!!! Haya wamesikia .....ila watu wa mara wana dharau sana, yawezekana hapo alikuwa na wanawake wote aliowatongoza na atachagua wa kulala nae, je ni chama gani?
 
kaka acha kuwa mbinafsi,kule siyo kuropoka ropoka, unaenda kwa hoja na sumtym hoja ya chama anaweza kuibeba mbunge m1 not nessesarily wote waongée..lakini pia hujawatendea haki wtu km myika,lema..etc!. kuwa bungeni ni zaidi ya hoja zinazotolewa na mtu m1 m1..imagine zitto anaongea wenzake wote hawapo kwny Vitini kwao!

Mada zinazoongelewa bungezi zipo nyingi sana na zinaleta hoja mbalimbali miongoni mwa wabunge. Haiwezekani mbunge akawa bubu bungeni just because eti mwenzake ameshaiongelea hiyo hoja. May be. Je ktk hoja nyingine ya mada tofauti huyo mbunge bubu atabaki kukaa bubu kwa kumsubiri mbunge mwenzie?? Huo ndio ukweli so far ukimtoa Zito na Lissu wabunge wootee vijana it's a big disappointment both upinzani na Magambani. Heri hata baadhi ya wabunge wazee wana substance ktk hoja zao.
 
ukiondoa zitto may be na lissu kwa upande mp's wa upinzani wengine woooooteeee sijaona wanalolifanya na sidhani kama ni wapiganaji. Nilitegemea bunge hili litakuwa moto pande zote ccm/cdm/cuf/nccr ktk historia ta tz lakini so far yaani it's a big disappointment!!
mkuu nipo kwete tabia zao mitaani na sio bungeni tafdhali
 
machemli ni wa ukerewe, na sisi tusicoment wakati umeshaonja viroba.
lakini ujumbe umefika.... Ulevi nomaaaaa

tena huyo naye yumo sana tu anaharibia sana chama chake, kinaonekana chama cha walevi
 
Mimi ni Mtanzania, tena mpenda maendeleo na mpigania vijana... na hasa hasa mpenda haki na maendeleo ya nchi

sipendi viongozi wanaoonyesha picha mbaya kwa namna yoyote ile kwani wanatunyima taswira nzuri

Naomba leo nitoe ushauri kwa baadhi ya wabunge vijana
mmefanikiwa sana nawapongeza
ni wapiganaji wa kweli nawapongeza
ni vijana sana nawupongeza
mko chadema na ccm, nawapongeza

Baadhi yenu mmeanza kulewa, mnalewa sana madaraka na mnalewa pombe sana
mmefikia hadi mnaharibu...

Nikiamua nitawataja ila mmoja kanikera analewa na magrupu ya wanawake wengi, anatukana na kupiga makelele hovyo, ni kijana yupo kanda ya ziwa

haangalii hata amezungukwa na nani

TUSAIDIANE

Mbona umeshamtaja mkuu.
 
Back
Top Bottom