emmanuel1976
JF-Expert Member
- Jun 17, 2011
- 301
- 80
Kung'oa kucha wanaharakati na kutumia nguvu nyingi kwa watu wasio na silaha,,kuvamiwa kwa vituo vya polisi na kunyang'anywa silaha kma sio kuuawa kabisa
1.Kutungwa sheria kandamizi bila kutumuia utaratibu unaoeleweka hasa za kunyamazisha wananchi kama sheria ya vyombo vya habari na makosa ya mtandao na kuzipa adhabu kali sana.
2. Kamata kamata ya yeyote anayepingana na matakwa ya watawala na kuwashitaki kwa makosa ya uongo mfano Gwajima
Mwandishi mmoja wa zamani kwenye kitabu cha the origins of cold war alisema kabla ya empire haijaanguka inakuwa na dalili zifuatazo na ikitokea kuanguka dola hilo halilejei tena kwenye uimara wake kama wa mwanzo
1. Kuanguka vya fedha yake kimataifa
2. Watu wake kukosa kazi
3. Kuibuka kwa vikundi au mataifa wakishutumu utawala wake unafanya makosa
4. Kupungua kwa uzalishaji mali na pato la taifa
Katiba pandikizi ya Joka makengeza
hiyo katiba pandikizi ya joka makengeza imetokea nchi gani mkuu?
Bmk minus ukawa
1.Kutungwa sheria kandamizi bila kutumuia utaratibu unaoeleweka hasa za kunyamazisha wananchi kama sheria ya vyombo vya habari na makosa ya mtandao na kuzipa adhabu kali sana.
2. Kamata kamata ya yeyote anayepingana na matakwa ya watawala na kuwashitaki kwa makosa ya uongo mfano Gwajima
Huyu ni ka punje ka mchanga tu katika taifa.1.Kutungwa sheria kandamizi bila kutumuia utaratibu unaoeleweka hasa za kunyamazisha wananchi kama sheria ya vyombo vya habari na makosa ya mtandao na kuzipa adhabu kali sana.
2. Kamata kamata ya yeyote anayepingana na matakwa ya watawala na kuwashitaki kwa makosa ya uongo mfano Gwajima
Huyu ni ka punje ka mchanga tu katika taifa.
au na wewe umekula maharage ya wapi yuleeeeee
Ongezeko la mauaji ya kisiasa.
Serikali kuwa mbali na matatizo ya wananchi ama kutokujali shida za wananchi.
Kuongoza kwa vitisho, kiburi, uvunjaji wa katiba na ongezeko la umbali kati ya watawala na watawaliwa..
Oh my God.
Mwandishi mmoja wa zamani kwenye kitabu cha the origins of cold war alisema kabla ya empire haijaanguka inakuwa na dalili zifuatazo na ikitokea kuanguka dola hilo halilejei tena kwenye uimara wake kama wa mwanzo
1. Kuanguka vya fedha yake kimataifa
2. Watu wake kukosa kazi
3. Kuibuka kwa vikundi au mataifa wakishutumu utawala wake unafanya makosa
4. Kupungua kwa uzalishaji mali na pato la taifa
Mhe. Tabby, haya mambo unayosema hapa yanaweza kuwepo tz pia?