stabilityman JF-Expert Member Joined Jul 9, 2024 Posts 846 Reaction score 1,798 Apr 18, 2026 #1 *Urefu wa nyumba wakati wa ujenzi - Orodha: vipimo vyako visipungue hivyo nimeandika kwa experience yangu 1. Sebule - 4m x 5m au 4.5m x 5m 2. Chumba master - 4m x 4m au 4m x 3.5m 3. Vyumba vya kawaida - 3m x 3.5m. Chini ya 3m x 3m kinabana 4. Jiko - 3m x 4m 5. Bafu/Choo - 1.8m x 2.5m 6. Ukumbi - Upana 1.2m hadi 1.5m 7. Urefu wa kuta - 3m hadi 3.5m kutoka sakafu. Chini ya 2.8m epuka 8. Mapigo ya paa - Isipungue 30cm ili mvua isigonge ukuta 9. Mwinuko wa paa - Nyuzi 20-25 kwa bati 10. Urefu wa bati - Tumia 3m au 3.6m lifike bila kuunganisha katikati 11. Mlango - Upana 90cm, urefu 2.1m 12. Setback - Acha 1.5m pembeni, 3m mbele na nyuma kutoka mpaka wa kiwanja 13. Nyumba ya vyumba 2 - Urefu jumla 8m - 10m 14. Nyumba ya vyumba 3 - Urefu jumla 10m - 14m 15. Nyumba ya vyumba 4 - Urefu jumla 14m - 18m kama unataka kuchorewa raman ya nyumba na ujenzi 0 7 4 3 2 5 7 6 6 9
*Urefu wa nyumba wakati wa ujenzi - Orodha: vipimo vyako visipungue hivyo nimeandika kwa experience yangu 1. Sebule - 4m x 5m au 4.5m x 5m 2. Chumba master - 4m x 4m au 4m x 3.5m 3. Vyumba vya kawaida - 3m x 3.5m. Chini ya 3m x 3m kinabana 4. Jiko - 3m x 4m 5. Bafu/Choo - 1.8m x 2.5m 6. Ukumbi - Upana 1.2m hadi 1.5m 7. Urefu wa kuta - 3m hadi 3.5m kutoka sakafu. Chini ya 2.8m epuka 8. Mapigo ya paa - Isipungue 30cm ili mvua isigonge ukuta 9. Mwinuko wa paa - Nyuzi 20-25 kwa bati 10. Urefu wa bati - Tumia 3m au 3.6m lifike bila kuunganisha katikati 11. Mlango - Upana 90cm, urefu 2.1m 12. Setback - Acha 1.5m pembeni, 3m mbele na nyuma kutoka mpaka wa kiwanja 13. Nyumba ya vyumba 2 - Urefu jumla 8m - 10m 14. Nyumba ya vyumba 3 - Urefu jumla 10m - 14m 15. Nyumba ya vyumba 4 - Urefu jumla 14m - 18m kama unataka kuchorewa raman ya nyumba na ujenzi 0 7 4 3 2 5 7 6 6 9
M man dunga JF-Expert Member Joined Oct 13, 2013 Posts 3,844 Reaction score 6,814 Apr 18, 2026 #2 Jielemishe zaidi kwenye hiyo namba 7. Hiyo 'epuka chini ya 2.8m' sio sawa maeneo ya baridi.
AlexProsper JF-Expert Member Joined Jul 1, 2022 Posts 3,416 Reaction score 6,290 Apr 18, 2026 #3 Safi sana
sixlove JF-Expert Member Joined Dec 20, 2011 Posts 579 Reaction score 414 Apr 20, 2026 #4 Safi sana, kwa nyumba ya chumba kimoja master, sebule na jiko. Nikifanya sebule 4.5×4. Bedroom atleast 4×4, jiko 3×2.5, choo 1.5×2.5. Hapo si nitakuwa na nyumba ndogo lakini kubwa?
Safi sana, kwa nyumba ya chumba kimoja master, sebule na jiko. Nikifanya sebule 4.5×4. Bedroom atleast 4×4, jiko 3×2.5, choo 1.5×2.5. Hapo si nitakuwa na nyumba ndogo lakini kubwa?
Intelligent businessman JF-Expert Member Joined Sep 6, 2022 Posts 46,406 Reaction score 102,527 Apr 20, 2026 #5 Mbona sebule na hivyo vyumba vidogo aisee