Time will tell. Hata akifia madarakani, still bado atakuwa ameondoka tu
Nahisi kama atauwawa kwa kupigwa risasi, huwezi kuuwa watu kwa risasi tena kwa kutofautiana nao kidogo tu alafu wewe ufe kifo salama. Atakufa kwa njia hiyo pia. Mark my words!!!!Time will tell. Hata akifia madarakani, still bado atakuwa ameondoka tu
Maadam yeye ni kiumbe hai ipo siku ataondoka iwe kwa bunduki, kufa, kushindwa uchaguzi au hata hata kupinduliwa
Ukiishi kwa upanga utakufa kwa upanga vile vile *****Nahisi kama atauwawa kwa kupigwa risasi, huwezi kuuwa watu kwa risasi tena kwa kutofautiana nao kidogo tu alafu wewe ufe kifo salama. Atakufa kwa njia hiyo pia. Mark my words!!!!
"Watu wanapo kaa kimya kwasababu ya kuwafanyia vitendo vya kigaidi haimaanishi kuna amani" General Nyamwasa
"Watu wanapo kaa kimya kwasababu ya kuwafanyia vitendo vya kigaidi haimaanishi kuna amani" General Nyamwasa
Hahahaha, nimejaribu KUKAA katikati ya 'Sentensi' hz , NIMEKUELEWANyamwasa moja kati ya majeneral waoga zaidi ulimwenguni
Sent using my iPhone using jamiiforum app
Na mi nahitajiNawezaje kukipata hicho kitabu " From Genocide to continental war"???