Raia Fulani
JF-Expert Member
- Mar 12, 2009
- 11,866
- 4,261
mbatia kifaa,yuko makini tunamhitaji sana mjengoni kupitia ukonga.
2015 UKAWA watachinjana wenyewe kwa wenyewe, majimbo ya CCM yatabaki kuwa ya CCM
aende ukonga halina mtu,
Asante Dada
mbatia akipata ukonga , mnikate kidole mura.
Nimejiuliza hili swali baada ya kumwona Mbatia akiwasilisha bajeti kivuli ya wizara ya fedha. Kadhalika akimshukuru kiongozi wa kambi rasmi ya upinzani bungeni, mh. Mbowe kwa kumteua kwenye nafasi hiyo. Mbatia ni mwanasiasa makini. UKAWA ni muungano ambao hautaishia leo. Utakwenda hadi uchaguzi mkuu ujao, na ikibidi kuchukua Dola toka ccm.
2010 Mbatia aligombea jimbo la Kawe na kushindwa na Halima Mdee. Siamini kama 2015 atatamani kugombea urais. Wala siamini kama atakwenda tena kugombea Kawe kutokana na UKAWA. Kadhalika sina hakika kama ataenda kugombea jimbo la Vunjo ambalo akipata kuwa mwakilishi wake huko nyuma. Pale Vunjo yupo Mrema (wa chadema) ambaye aligombea na Mrema wa TLP na tlp ikashinda. Siamini kama nia za Mrema wa cdm zilifutika. Bila shaka atauwinda tena uwakilishi mwakani kwani Lyatonga sina hakika kama atagombea tena, au kupewa kura za kutosha kushinds.
Mbatia anahitajika mjengoni. Atapitia jimbo gani la uchaguzi?
Ni kweli mkuu. Hata mimi niliwaza Mrema kutoswa abakie mkurugenzi wa masuala ya bunge. Mbatia kugombea nje ya haya majimbo mawili haipendezi. Ni imani yetu hekima itatawalaThe best alternative ni jimbo la VUNJO ambako aliwahi kuwa mbunge. Alibugi kwenda Kawe, Huyo Mrema wa CDM itabidi awe sacrificed, na hizo ndiyo cost za USHIRIKIANO WA VYAMA. They can learn from Kenya huwa wanafanya vipi.
Ni kweli lakini ubunge una nafasi kubwa sana kwenye suala la kufanya maamuziKwa Mbatia kuwatumikia wananchi si lazima awe mbunge. Kazi zake zinaonekana hata nje ya mbunge. Ndio maana hata mheshimiwa rais alimkubali na akamchagua, fikiria wana ccm wangapi mate yanawatoka!