Baada ya UKAWA kugomea figisu za CCM uchaguzi wa Meya wa jiji la Tanga kurudiwa

Kikwebo

JF-Expert Member
Aug 25, 2006
407
207
Taarifa zilizopatikana hivi punde ni kuwa uchaguzi wa kumchagua Meya wa Jiji la Tanga kurejewa kesho...more news to follow
 
Umeya wa jiji la Tanga ukawa halali yenu. Hapo CUF jipangeni vizuri jiji liko chini yenu
 
Bila shaja jiji lingine mamlakani alafu shigela nae qseme ndio rais wa tanga,mana makonda kasema yeye rais wa dar-es-salam tayar
 
Ninavyowapenda manyumbu wanapenda sana kujifariji sanaaaa aaahaaaaa etii uchaguzi unarudiwa labda baba yako anamuoa tena mama yako itakuwa umejichanganya mtoa mada
 
Back
Top Bottom