fredrickjanga
Member
- Aug 13, 2015
- 23
- 22
Mkuu ainisha ushiriki wa mzee Slaa na kwenye ujio wa Lowasa.fredrickjanga
Mabadiliko yapi? Hata CCM wanafanya mabadiliko na walishaanza mapema kabla yetu. Walitupa kule mafisadi wakiongozwa na Lowassa. Wakachagua wenye maadili. Sisi hayo mabadiliko tuliyafanya baadae kwa kuwatupia virago viongozi waadilifu kina Dr Slaa na kuleta mafisadi.
Kwa hiyo unazidi kutuambia tuchague mabadiliko ya style hii au? Viongozi waliopambana na mafisadi miaka nenda rudi tumewatupa na kukumbatia wachafu na makapi. Haya ndio unayoyataka?
Naanza kuwatahadharisha watanzania wote, baada ya uchaguzi mkuu tusilaumiane:
Nimeona wasanii sasa hivi wanajikomba CCM, baada ya uchaguzi ndio watagundua kwamba serikali bado haiwajali, Tusilaumiane!
Naona bado kuna wakinamama wenye shida za kutupwa, bado wanasema CCM ni nzuri, baada ya uchaguzi, ndio wataanza tena kulalamika, Tusilaumiane!
Naona kuna baadhi ya vijana wanapewa vifedha na kujisahau, baada ya uchaguzi, ndio watakumbuka kumbe hawana ajira, Tusilaumiane!
Naona watanzania wengi tumekuwa tukilalamika maisha magumu, baada ya uchaguzi, maisha yatabadilika kutokana na chaguo lako, ukichagua CCM, Tusilaumiane!
Chagua mabadiliko, vinginevyo, TUSILAUMIANE!!!!
Hao mabadiliko ndio wataleta nini?
KARNE YA 21 HAMNA WA KUMDANGANYA, WE ACHA TU WATU WAPIME MBAYA YUPI ANA KANAFUUPO!
fredrickjanga
Mabadiliko yapi? Hata CCM wanafanya mabadiliko na walishaanza mapema kabla yetu. Walitupa kule mafisadi wakiongozwa na Lowassa. Wakachagua wenye maadili. Sisi hayo mabadiliko tuliyafanya baadae kwa kuwatupia virago viongozi waadilifu kina Dr Slaa na kuleta mafisadi.
Kwa hiyo unazidi kutuambia tuchague mabadiliko ya style hii au? Viongozi waliopambana na mafisadi miaka nenda rudi tumewatupa na kukumbatia wachafu na makapi. Haya ndio unayoyataka?
Tusichague vigeugeu. Mtu alikuwa kiongozi w toka uhuru.Leo anaambiwa uongozi basi anatukana watu.Hizi ni tabia za vigeugeu na si mabadiliko ya tijaNaanza kuwatahadharisha watanzania wote, baada ya uchaguzi mkuu tusilaumiane: