Baada ya tarehe 12/7 hivi ndo itakavyokuwa

Baada ya tarehe 12/7 hivi ndo itakavyokuwa

Wakutu

JF-Expert Member
Joined
Jun 4, 2012
Posts
249
Reaction score
173
kwani mbali sana basiii.....tuzidi kuwepo tuu.
 
Attachments

  • 1435658340610.jpg
    1435658340610.jpg
    87.5 KB · Views: 833
tunaimbea hiyo tarehe ifike hara tuene wananfiki waliojifanya kuchukua form wakidai wanagombea nafasi ya kuwakilisha chama kumbe yanataka nafasi ya kutengeneza mitandao ndani ya chama
 
timu majambazi watalia tu lakini wajue ni mpago wa mungu,wavumilie na tusaidiane.
 
Kama Ni fisadi au mwizi Mbona ana Mvuto Nje na Ndani ya Chama Kulikoni Mtia Nia yoyote. NADHANI Kuna Majungu na Chuki Binafsi ambazo Mwisho wa siku Zitakuwa Wazi.

Jitieni Uchizi na Llikate jina lake ( aliye Kipenzi na Chaguo la Wengi), hapo ndipo kauli ya Baba wa Taifa Mwl nyerere itakuwa Imetimia kwa CCM Kuzigawana Mbao Mapema tu hata Kabla ya Uchaguzi Mkuu-October.
 
Napenda lowasa akatwe moja atasaidia sana kuizika ccm mbili upinzani utakuwa kwa kasi kubwa maana lijamaa jizi limeiba hadi wanachama wa chama chake na ameweza kubadili njano kuwa nyekundu et yeye pekee ndie msafi ndani ya ccm duu
 
Kama Ni fisadi au mwizi Mbona ana Mvuto Nje na Ndani ya Chama Kulikoni Mtia Nia yoyote. NADHANI Kuna Majungu na Chuki Binafsi ambazo Mwisho wa siku Zitakuwa Wazi.

Jitieni Uchizi na Llikate jina lake ( aliye Kipenzi na Chaguo la Wengi), hapo ndipo kauli ya Baba wa Taifa Mwl nyerere itakuwa Imetimia kwa CCM Kuzigawana Mbao Mapema tu hata Kabla ya Uchaguzi Mkuu-October.
Ana mvuto au alianza kampeni kitambo? Punguza mawenge. Hata JK alionekana na mvuto. Enough is enough nchi si ya majaribio hii. Kujaribisha nchi ndo kumefanya sasa dola inatrade kwa buku mbili bado tena unataka tuendelee kujaribu kutoka kwenye kundi lile lile lilitufanya kitu mbaya?
 
Kama Ni fisadi au mwizi Mbona ana Mvuto Nje na Ndani ya Chama Kulikoni Mtia Nia yoyote. NADHANI Kuna Majungu na Chuki Binafsi ambazo Mwisho wa siku Zitakuwa Wazi.

Jitieni Uchizi na Llikate jina lake ( aliye Kipenzi na Chaguo la Wengi), hapo ndipo kauli ya Baba wa Taifa Mwl nyerere itakuwa Imetimia kwa CCM Kuzigawana Mbao Mapema tu hata Kabla ya Uchaguzi Mkuu-October.

Binafsi sioni uwezekano wa Lowassa ama yeyote kati ya watangaza nia kuondoka ama kuivunja CCM kama jina lake litakatwa. CCM na serikali yake imewaumba hawa wote kisiasa na kiuchumi na hivyo kama vile aliyeumba anaweza kuumbua, ndivyo itakavyokuwa kwa hawa wote. Hawa wote ni matokeo ya CCM hawana ubavu wa 'kuwa' 'being' bila CCM.

Kwa maana hiyo basi, yeyote yule atakaye teuliwa na CCM hataweza kufanya lolote nje ya utaratibu wa aliyemuweka madarakani naye ni CCM. Mfano hai tumeuona karibuni. Pamoja na nia njema ya JK kutupa katiba yenye matumaini, alishindwa na ilibidi abadilike na kufuata amri ya aliyemuweka madarakani yaani CCM. Mstakabali wa Taifa letu tuwe na mkakati wa mageuzi makubwa kwanza kwenye bunge. Tujitahidi sana fufikia CCM 50% na upinzani 50% kwa 2015 na ifikapo 2020 upinzani iwe >55% na CCM 45%< . Hali hii itawezesha bunge kubadilisha katiba na tutapa Katiba yenye kuirudishia Tanzania heshima na matumaini yake. Na iwapo upinzani utachukua serikali, inawezekana kabisa ni 2025, ili kuwa na bunge imara tujitahidi bunge liwe CCM>50% na serikali ya upinzani <50. Hali ya sasa ya kiburi cha CCM ni uwing ndani ya bunge utokanao na Katiba ya sasa.
 
Back
Top Bottom