Pain killer
JF-Expert Member
- Aug 15, 2017
- 14,177
- 21,315
Bado mna mna mawazo ya lissu kuingia ikulu! Mnavhekesha!,Maandamano tu mmemsaliti katimkia zake Ubelgiji! Kaona hamna maana ,mmebakia kubweka tu hapa JF!.Alafu watu wanasema upinzani ufe!! Hoja za Lissu na Chadema ndo zimetawala kwenye hotuba ya magufuli ya leo
1. Kukuza uchumi kwa kutegemea sekta binafsi
2. kuongezea watumishi mishahara
3. Kuweka picha na details za mtu kwenye vitambulisho vya machinga.
Lissu popote ulipo, pokea shukrani zangu. Sitajuta kukupigia kampeni na kukushabikia.
ipo siku lazima utaingia ikulu
Hakuna cha hoja za LisuAlafu watu wanasema upinzani ufe!! Hoja za Lissu na Chadema ndo zimetawala kwenye hotuba ya magufuli ya leo
1. Kukuza uchumi kwa kutegemea sekta binafsi
2. kuongezea watumishi mishahara
3. Kuweka picha na details za mtu kwenye vitambulisho vya machinga.
Lissu popote ulipo, pokea shukrani zangu. Sitajuta kukupigia kampeni na kukushabikia.
ipo siku lazima utaingia ikulu
Lisu huyu huyu aliekimbilia kwa Amsterdam ndio alikuwa na spana?
Yani mtu kawapatia chadema mbunge 1 toka wabunge 60 na amepata 13% ndio alikuwa na spana?
kaoge kwanzaWakuu
Leo katika hotuba ya raisi bungen dodoma, amaeleza kuwa ataboresha vitambulisho vya wajasiriamali wadogo wadogo, Kwa kuweka jina, na picha
Hapo awali kitambulisho hakikuwa na kitu chochote lakin bunge lilipitisha bila hata aibu
Hii inaonesha ni namna gan bungen wanalala tu,
Vitambulisho vilikuwa vinauzwa huku mitaan havina hata majina, wala picha, wabunge wapo tu, hawasemi, hadi leo mh raisi kaona kasolo
Hakuna hata mbunge wa ccm aliyewahi kukosoa hili swala
Aisee
Hii ni baada ya Lissu kuponda vitambulishao
Ni lini ilisemwa na wapi? weka ushahidi hapaWee ndo hujui
Idea ya jina & picha ilikuwa ikijulikana na kusemwa kabla ya hata huyo msaliti hajachukua fomu ya kugombea
Lini uliwahi kusema humu?Wee ndo hujui
Idea ya jina & picha ilikuwa ikijulikana na kusemwa kabla ya hata huyo msaliti hajachukua fomu ya kugombea
Bro mbona umepost picha ya geto lako sasa
Huyo Lissu ni poyoyo tuu, kaja kakuta vitambulisho Wala hakuwa na wazo la kuanzisha hivyo vitambulisho kaishia kupinga pinga tuu eti ndo spana, spana kapigwa Lissu Hadi kajipeleka kwa beberu lake kabla ya muda aliotuambia wa Dec 18.Wakuu
Leo katika hotuba ya raisi bungen dodoma, amaeleza kuwa ataboresha vitambulisho vya wajasiriamali wadogo wadogo, Kwa kuweka jina, na picha
Hapo awali kitambulisho hakikuwa na kitu chochote lakin bunge lilipitisha bila hata aibu
Hii inaonesha ni namna gan bungen wanalala tu,
Vitambulisho vilikuwa vinauzwa huku mitaan havina hata majina, wala picha, wabunge wapo tu, hawasemi, hadi leo mh raisi kaona kasolo
Hakuna hata mbunge wa ccm aliyewahi kukosoa hili swala
Aisee
Hii ni baada ya Lissu kuponda vitambulishao
Angekuwa na akili kubwa angejipeleka kwa beberu kabla ya muda?Lissu akili kubwa