Tuliona Kipindi Mh.Lema akiwa Mbunge alivyopata misukosuko hapo Arusha,wengine tulidhani ni kwa sababu ni Mbunge Kutoka Chama Cha Upinzani!
Akaja Mh.Gambo na Mongella baadae Mh.Makonda,Hawa wote ni Kutoka Chama tawala lakini tuliona Mh Gambo alivyopata misukosuko katika Kipindi chake!!
Uhakika ni kuwa baada ya October 2025 na kuendelea Mh.Paul Makonda na Kihongosi watakuwa Maadui!!