Baada ya Mwekezaji kukata tamaa Dkt. Kigwangalla asema yuko tayari kununua Hisa awe Mwekezaji mpya!

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
86,418
147,089
Mbunge wa Nzega Vijijini Dr Kigwangalla amesema kampuni ya HK Group sasa iko tayari kuwekeza katika Vilabu vikubwa nchini Simba SC na Dar Young Africans

Ikumbukwe Mwekezaji Mo Dewji amesema ameanza kukata tamaa na Uwekezaji wake pale Simba

Dr Kigwangalla ametoa ofa hiyo kupitia ukurasa wake wa twitter!
 
Kigwangala sijui huwa anajikuta Nani nchi hii. Yaani viongozi wa Tanzania huwa hawana aibu kuonyesha kiwango cha ufisadi walichodhulumu Watanzania. Huyu anaringia utajiri wa mifugo ya Wafugaji iliyokuwa inaingizwa kwenye hifadhi na kupigwa mnada bila kesi kufikishwa mahakamani halafu Leo anajifanya anaweza kuendesha timu kama Simba? Yaani eti Kigwangala naye anajiita Hustler!!
 
Dunia hii bila dhuluma hujatajirika bado

Watu wanadhulumu hadi Uhai!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…