mashi ga ngoko
Member
- Jul 15, 2018
- 96
- 50
Sasa unajishtukia na hajakuambia tatizo la kununa ni nini huenda je kama kanuna kwa sababu ya ugeni?Nilikua nammendea beki 3 kwa muda mrefu,majuzi wife kaenda kwenye harusi na mie nikpata nafasi ya kumgegeda, nilikuaga namuoa na vijana wa mtaani wakimmendea nikafikiri walishaondoa bikra kumbe bdo,sasa nikawa wa kwanza kuzichana nyavu.
Baada ya kumaliza tendo dogo aliniahidi kuwa akirudi dada yake atanisemea,so majuzi ghafla wife kaninunia mpaka leo kanuna,pamoja kuwa hajaniambia kuwa dogo kamwambia au rafiki zake beki 3 wamemwambia, nikimwambia aniambie nini kinamfanya anune ananiambia ninajua.Familia haina Amani ni shida mtupu ukizingatia Maza yangu katimba kutoka mkoa,Najuta kumgegeda huyu beki 3
kweliMchuma janga hula na wa kwao
ndugu sitaki hata ukusimulia manake mchezo huo sio Mzuri kabisamkuu nipe maunjanjaa!? unaanzaje anzajee kumla beki tatuu isee!?
Ujinga nao!
Share maujuzii mkuu....ndugu sitaki hata ukusimulia manake mchezo huo sio Mzuri kabisa
hapana sio kawaida yake,manake usiku wa majuzi hakulala na dogo nae ananiogopa kinyamaSasa unajishtukia na hajakuambia tatizo la kununa ni nini huenda je kama kanuna kwa sababu ya ugeni?
Labda timu yake ilitolewa kwenye 16 bora..Huyu beki 3 anafanya ni huko dariselamu wakati wenzake wako Russia
Nataka nimnunulie simu Aipendayo SAMSUNG s9 EdgeMpe hela wife
acha ujinga sasa kununa tu tayari unawaya waya. sasa ole wako ukiri kwamba bahati mbaya shetani alikupitia. Tumeshaapa mwanaume usikubali kosa la kuchepuka hata siku moja.Nilikua nammendea beki 3 kwa muda mrefu,majuzi wife kaenda kwenye harusi na mie nikpata nafasi ya kumgegeda, nilikuaga namuoa na vijana wa mtaani wakimmendea nikafikiri walishaondoa bikra kumbe bdo,sasa nikawa wa kwanza kuzichana nyavu.