Buenos Aires
JF-Expert Member
- Dec 29, 2015
- 1,893
- 1,623
yule mwingine czani kama anaweza sababisha hasara zaid ya kupunguza mzigoHuyo ndiye the king, sijapata kuona mchezaji yeyote tangia soka lianze kuchezwa hapa ulimwenguni mwenye thamani kubwa kama hiki kiumbe, fikiria tu asipowepo kikosini ni hasara kubwa mno kwa taifa la Argentina na mataifa ya nje, hahahaa huyu mnyama ni hatari sijapata kushuhudia.
yule mwingine czani kama anaweza sababisha hasara zaid ya kupunguza mzigo
[emoji1] [emoji1] uko sahihi MkuuSi uliona mechi na france alitoka aft 20Min lkn hamna aliyeshituka,
"Tofauti ya kizuri na kibaya ni pindi utakapoona kibaya kinajisifia then kizuri kinasubiria kusifiwa"
Huyo si mwingine bali ni mfalme wa soka kuwahi kutokea,hapendi kujisifia
Fungu la kukosa hao.!!Naona Messian mnafarijiana.