Baada ya member mmoja huku kuomba mabehewa ya tren ya kunywea bia na kula nyama choma yaongezwe hatimae waziri mwenye dhamana kusikiliza ombi.

wa stendi

JF-Expert Member
Jul 7, 2016
24,688
26,796
Hii ni baada ya member mmoja huku kuomba kuwa ile tren inayoenda moshi kuongezwe mabehewa ya kunywea bia na kiwe na nyama chama kabisa ili wasafiri waburudike zaidi waziri mwenye dhamana kamwele katangaza kuwa ataongeza hayo mabehewa.

Asante sana ulieleta ombi hilo humu jf ombi liko lilifanyiw kazi na limesikilizwa.
Screenshot_2019-12-26-10-55-42.jpeg
 
Waongeze na dada poa jamani,kulewa bila totoz haiwezmake
Hata wasipoongezwa mle hauwezi kosa kosa sio wote wanaosafiri ni abiria mle ni kama guest kuna wenaochukua chumba kumbe wako kwenye mtego wao
 
Hata wasipoongezwa mle hauwezi kosa kosa sio wote wanaosafiri ni abiria mle ni kama guest kuna wenaochukua chumba kumbe wako kwenye mtego wao

Early February nlipanda Hilo dude wanawake wanaojirahis wapo Sana Tena ukienda Kule kwenye bia ndo hatar we mwanamke anacheza anasaula nguo huyo zimo kweli na ukigusa tuu imooo, Ila ujipange kununua bia
 
Back
Top Bottom