Wakati panzia la ligi linafunguliwa kila kocha alijawa na matumaini ya timu yake kufanya vizuri katika harakati za kuchukua kombe, lakin wakati timu zimecheza mechi chache tu za ligi kuu hali ikawa mbaya kwa kocha wa timu ya NDANDA FC ya Mtwara ndugu Denis Kitambi kwa kufunguwa virago, mambo hayakuishia hapo tu yakamkuta kocha wa timu ya YANGA SC ya DAR ES SALAAM Marcio Maximo kwa kutupiwa virago baada ya timu hiyo kufungwa katika mechi ya bonanza maarufu kama "NANI MTANI JEMBE", ila naamin hali hii ya timua timua haitaishia hapo tu! na sasa itakuwa zamu ya Patrick Phiri wa timu ya SIMBA SC ya DAR ES SALAAM na hii ni kutokana na mwenendo wa timu hiyo wa kusua sua katika harakati za kupigania kombe la ligi kuu tanzania bara (vpl)....... huo ni mtazamo wangu na wewe unaweza kutuambia wa kwako kuhusiana na hii timua timua ya makocha kataka ligi ya tanzania, baada ya maximo huyu atafuata.
Mkuki kwa nguruwe kwa binadamu mchungu, hawakumbuki alichokuwa amefanya JUMA KASEJA kwenye mpambano wa nani mtani jembe ya mwaka jana alipotoa goal ya boko kwa yule mtoto wa mzee pazi!!!!Phiri yuko katika probation, ole wake afungwe au hata atoe sare katika mechii ijayo. Mashabiki na wanachama wa mikia wamekasirishwa na kitendo cha Ivo Mapunda kufungwa bao rahisi vile, wamemtaka kocha amtumie Manyika Jr maana wanaamini Mapunda ni Yanga, kama si uzembe wake wangeambulia sare kama kawaida yao. Phiri ajiandae kurejea Lusaka muda wowote ndani ya wiki 2 zijazo.
weka sawasawa kumbukumbu zakoMkuki kwa nguruwe kwa binadamu mchungu, hawakumbuki alichokuwa amefanya JUMA KASEJA kwenye mpambano wa nani mtani jembe ya mwaka jana alipotoa goal ya boko kwa yule mtoto wa mzee pazi!!!!
Ama kweli mtenda akitendewa hujihisi ameonewa...
Awadh Juma sio mtoto wa Idd Pazi, au unamchanganya Zahoro?Mkuki kwa nguruwe kwa binadamu mchungu, hawakumbuki alichokuwa amefanya JUMA KASEJA kwenye mpambano wa nani mtani jembe ya mwaka jana alipotoa goal ya boko kwa yule mtoto wa mzee pazi!!!!
Ama kweli mtenda akitendewa hujihisi ameonewa...
Hakika hujakosea ndio kwanza nakuleteeni misamiati mipya kama vile escrow, epa, richmond n.k....au wewe unajua maana ya maneno hayo ili uwasaidie watanzania wengine wasiojua maana ya maneno hayo?????Mkolaj umekuja na kiswahili kipya hapa
Phiri yuko katika probation, ole wake afungwe au hata atoe sare katika mechii ijayo. Mashabiki na wanachama wa mikia wamekasirishwa na kitendo cha Ivo Mapunda kufungwa bao rahisi vile, wamemtaka kocha amtumie Manyika Jr maana wanaamini Mapunda ni Yanga, kama si uzembe wake wangeambulia sare kama kawaida yao. Phiri ajiandae kurejea Lusaka muda wowote ndani ya wiki 2 zijazo.
Mbona torres ana miaka 30 na bado anawaniwa na vilabu vingi kule ulaya sembese tz mnakocheza kwa kuigiza????, kwani yule kiongozi wenu wa timu ameacha ile tabia ya kuvuliwa suruali na wanaume wenzake na wale wachezaji mashoga wanaolawitiwa wote mliwatimua???Yanga ndo hawana subira ndo maana wanasajili watu waliokaribia kuchukua pension wengine wamejikatia tamaa pamoja na wacheza filamu za ngono.
Phiri yuko katika probation, ole wake afungwe au hata atoe sare katika mechii ijayo. Mashabiki na wanachama wa mikia wamekasirishwa na kitendo cha Ivo Mapunda kufungwa bao rahisi vile, wamemtaka kocha amtumie Manyika Jr maana wanaamini Mapunda ni Yanga, kama si uzembe wake wangeambulia sare kama kawaida yao. Phiri ajiandae kurejea Lusaka muda wowote ndani ya wiki 2 zijazo.
Kumfunga Yanga ndiyo mpango mzima. Hayo matokeo mengine sio issue!