Katasheka jr
JF-Expert Member
- Jul 28, 2016
- 528
- 359
Lowasa, Sumaye, atamalizia mzee WA gia...kila mtu anayo haki kamili ya kujiunga na chama cha siasa atakacho lakini ni kweli Machali anaipenda CCM au kuna kitu kilichomsukuma kurudi CCM? ni kitu gani hasa hicho?. Hakuna asiyebandikwa bei mgongoni!!
Huna akili.Wapo wengi km machali na wengine,hata ww ukitaka karibu tu usiogope macho ya wayahudi
Kivipi kwa mfano....mbona unapaniki kaka??? Huu mchezo hauhitaji hasira kaka.....ccm ni mwendokasi speed 200 ukizubaa unagongwa mzee....karibu ccm mahali pasipo na stress hata kidogo mkuu.....mzee wa nchi keshasema hapa kazi tu sasa cjui ww uko upande gani wa shilingHuna akili.
Kwa hao ni sawa na kupanda jiwe na ukaliwekea mbolea ukisubiri liote.Tundu Lissu, Mbowe, Maalim Seif, n.k. mmoja wao akirudi ccm basi Itakuwa ndiyo mwisho wangu mimi kupenda demokrasia, nitaachana kabisa na ushabiki wa kisiasa
Nilivyoona historia yake kwamba alianzia CCM then akaenda TLP then akaenda CHADEMA then NCCR then ACT then sasa. CCM wala sikushangaa.
Mtafuta maslahi huyu.
Aliyewakilisha UKAWA mwaka jana alitokea CCM pia, na yeye atakuja kurudi CCM?. Na yeye alikuwa akitafuta maslahi kama ulivyosema kuhusiana na Machali?.Nilivyoona historia yake kwamba alianzia CCM then akaenda TLP then akaenda CHADEMA then NCCR then ACT then sasa. CCM wala sikushangaa.
Mtafuta maslahi huyu.
Muulize tumaini makene atakuambia yupo wapiHivi John Mnyika yuko wapi?
Mtu mwenye akili zake timamu huwezi mkuta anashabikia CCM tena mbele za watu bila haya, Labda kama Ana maslahi yake binafsi kwenye hicho Chama lkn km na ww ni mlala hoi kama mimi fanya mambo mengine ya maana achana ushahabiki wa kipumbavu.Kivipi kwa mfano....mbona unapaniki kaka??? Huu mchezo hauhitaji hasira kaka.....ccm ni mwendokasi speed 200 ukizubaa unagongwa mzee....karibu ccm mahali pasipo na stress hata kidogo mkuu.....mzee wa nchi keshasema hapa kazi tu sasa cjui ww uko upande gani wa shiling
Dunia ina maajabu sana hivi hata kwa kipimo cha kawaida tu mnaweza kufananisha mchango Wa Zitto katika ujenzi wa upinzani hasa katika siasa za masuala na hao mnaowaita ma role model wenu? Wenye siasa za matukioLaana ya usaliti inawatesa, tulisema na kuwatahadarisha hawa wanasiasa Vijana waliopata umaarufu mkubwa kuwa ktk mafanikio waliyokuwa wamepata walipaswa kutulia na kuwafanyia Wananchi waliyowakubali kazi, wao wakaanza kung'ang'ania madaraka... Langu jicho tutasikia mengi