Baada ya Lowassa, CCM itampandikiza nani CHADEMA?

Sasa ni ZAMU ya Andrew Chenge au Rostam Aziz
 

Naogopa NISSAN NYEUPE Mkuu
 
Namna hii ndani ya wizara ya habari na michezo kupeleka timu world cup ni sawa na shetani kuingia mbinguni. Hasara tupu
Ondoa akili za kitumwa ndani yako, hata mkielezwa kinaganaga mnabaki kubweka.......enyi wanawaufipa ni nani aliyewarogaa?
 
Ataenda Jerry Muro sababu kimeshachoka hakina kiki
 
Sijui Chadema 2025 itampandikiza nani baada ya mzee wa tingatinga kuivuluga ccm kwa kuleta mambo ya kichademachadema
 
Nani kakudanganya ya kwamba lowasa kapandikizwa ccm, lowasa ni mtu anayejitambua na ameona mahali ambapo anaweza kuwasaidia wananchi na siyo kuwa ccm chama ambacho kinaonekana ni cha wezi kila kuchao
Ange wasaidia wananch akiwa kule aliko ishi tangu ujana.
Na pia alivyo hama mwizi EL mtaa wa ccm uko swali
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…