Wakudadavuwa
JF-Expert Member
- Feb 17, 2016
- 17,505
- 16,006
Ok nimekusoma..... ingawa humu ni anonymity! kumjua mtu si rahisi. Nakumbuka kuna kijana mmoja wa ccm, tulipotelewa na kitu nyumbani, akaomba msaada humu ... Mungu bariki nikaona post hiyo. Nikasema haya si ndiyo tumeyajadiri jana.. kumbe kijana yuko na ID hii, nikamjua. mpaka leo niko naye humu hanijui kuwa namjuaHahhaha nisome vyema Mkuu.
Ok nimekusoma..... ingawa humu ni anonymity! kumjua mtu si rahisi. Nakumbuka kuna kijana mmoja wa ccm, tulipotelewa na kitu nyumbani, akaomba msaada humu ... Mungu bariki nikaona post hiyo. Nikasema haya si ndiyo tumeyajadiri jana.. kumbe kijana yuko na ID hii, nikamjua. mpaka leo niko naye humu hanijui kuwa namjua
nilikuwa nakupa mfano, siyo wewe hapana. Niliposema Shonza nikasema hatujuani hivoy wakudadavua si rahisi kusema ni huyo waziri. siyo kuwa nakufahamu hapana, sorryKama ID hii ni jina langu kamili kwa ufupi,yawezekana kuna mtu unamjua kwa jina hili lakini sijui sijawahi potelewa na kitu nikatangaza humu.
Umemkimbiza.....
Uwezo wa kufanya kazi bila kuitaja cdm hanaBinti mrembo kazi hii haikufai kwa sasa,wewe ni waziri kazi yako kuu ni kuhakikisha watanzania wanakuwa kitu kimoja,Waziri ni mtumishi wa Serikali na si mpiga propaganda kwenye mitandao.
Pili ya Chadema tuachie Chadema jenga Chama chako kipya.
Uwezo wa kufanya kazi bila kuitaja cdm hana
Ni mizigo tupuNamna hii ndani ya wizara ya habari na michezo kupeleka timu world cup ni sawa na shetani kuingia mbinguni. Hasara tupu
Nape au Membe au Nyalandu.Igwe wanaJF!
Ajizi nyumba ya njaa, baada ya CCM kuzichanga vema karata zake huku ikifanikiwa kupenyeza makada wake waaminifu ndani ya duru za upinzani ni dhahiri sasa wanaweza kupanga mipango yao huku wakimuelekeza adui jambo la kufanya. Ili ushinde vita ni muhimu kumuelewa mpinzani wako.
Siasa za 2020 zinatabirika na pasi na shaka CCM itashinda kwa kishindo kikuu. Mpango mkakati sasa ni baada ya hapo na kwa hali yoyote kuanzia sasa nguvu inaelekezwa katika kuandaa makada ambao wataenda kuchukua mikoba ya Lowassa ndani ya Chadema ili kuidhibiti hali ya siasa.
Kwa vyovyote vile wajasiliasiasa mithili ya Mbowe ni msaada mkubwa katika kufanikisha haya. Hoja hii inaweza isieleweke kwa wengi sababu ya uzito wake ila yapaswa ibaki hapa kama rejea muhimu kwa vizazi vijavyo.
Wapinzani wanajitahidi Sana. Ila elimu kwa wananchi itawasaidia huko mbeleni kufanya siasa za mafanikio.Igwe wanaJF!