Baada ya Lowasa kukataliwa Kanda ya Ziwa, Apson Mwang'onda na Tupa wawasili Bukoba kuokoa Jahazi

Lowasa atakaliwa kila sehemu kwa sasa madudu yake yanazidi kubainika kila siku.
 
Mambo mengine yanasikitisha sana mtu wa shetani kumtaja mungu yani wewe na lowasa ufisadi wote mnaofanya bado unamtaja mungu kweli we bwawa.
 
Mtiririko wa post za Chabruma zenyewe ni ushahidi tosha kuwa ni ukweli mtupu.
Lakin ingekuwa vizuri watu waliopo jikoni watupe taarifa zaidi. Maana makachero huwa wanajua kila kitu. Ila naona wana avoid hii topic sijui kwanini au sababu inamhusu bosi wao mstaafu.
 
Apson ndiye aliyemfukuzisha kazi Membe usalama wa Taifa

Acha muvi iendeleee
 
Hot Lady na thatha ninyi nawapuuza, bado mpaka sasa sina uhakika kama nyie ni binadamu....

Mpaka hapo itakapothibitika hamunayo mafaili Mirembe....
 
Last edited by a moderator:
Lakin ingekuwa vizuri watu waliopo jikoni watupe taarifa zaidi. Maana makachero huwa wanajua kila kitu. Ila naona wana avoid hii topic sijui kwanini au sababu inamhusu bosi wao mstaafu.
Hata mimi nashangaa kwanini wasimwage kila kitu hapa tujue kwanza huyo aliyekuwa boss wao amekuwa mwehu huwezi kuwa boss wa TISS halafu baadaye ukawa mjinga kama anavyofany Apsoni wamlipue tu tujue kila kitu.
 
Lakini chanzo cha ugomvi wa Membe, Aposon na Kitine ulianzia St Peter?
 
Huu ni uongo francis tupa hajawahi kusafiri yupo dar ,jaribu kuandika kitu ambacho unauhakika nacho si kuidanganya jamii
 
Eti we ndo yule wa mapinduzi ya Zenji?:angry:
 
Magamba hakuna anayeaminika. Wasiwasi wangu ni mleta hizi nyuzi kum-promote fisadi mwenzao kiaina. Ukiwa bungeni unapata wapi hizi taarifa? ....nakumbuka jk alisemwa mengi mabovu yet akapewa urais....this time do not expect the same!
 
Mjadala si kusema uongo wala kupakana matope,kama amehongwa pesa kwa kuandika uongo wa kuipotosha jamii na aseme na atusibitishie uwepo na francis tupa na apson kuwepo bukoba ?wakati tupa hajawahi kusafiri yupo dar ,acha uongo hauta kusaidia ,huwezi kuishi kwa kutumia majina ya watu
 

Yani huyu jamaa tumlie tu pesa zake za ufisadi.
 
Mkuu, hiyo St Peter ni nini? Mie nijuavyo ni mashirika ya kidini ya kikristo

St Peter ni makao makuu ya Usalama wa Taifa. Wenyewe ndivyo wanavyopaita kuna kanisa kuuubwa pale karibu na Mbuyuni

Tukirudi kwenye swali la awali. Kwa nini Kitine na Apson walimfukuzisha kazi Membe Usalama wa Taifa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…